Kuna watu humu wana misemo, vichekesho, n.k na hata ukiingia JF ukiwa na hasira unawezajikuta unaangua kicheko cha nguvu hadharani. Misemo mingine ni kama trade mark kwa baadhi ya members. Kwa mfano, ni nadra sana kukuta post ya Mkandara ambayo haijaanza na "Mkuu wangu" hata kama anayemjibu alimtukana. Au AshaDii bila kumalizia threads zake na "Pamoja Saana" basi hiyo itakuwa sio uzi wake.
Misemo mingine basi tuu inakufanya usitake kuikosa JF. Nimejaribu kuonhoresha baadhi ya misemo niliyokutana nayo. Some made my day. Najua ipo misemo mingi wanaJF humu, so ongezea tafadhali.
- Your wish is my control – Invisible
- Pamoja Saaana – AshaDii
- Mkuu Wangu – Mkandara
- Usitake Ncheke – Faiza Foxy
- Mimi like sana wanaume wa jf - Smile
- Oh boy – Mzee Mwanakijiji
- Kwani Kongosho ni mwanamke???!?! – TANMO
- Kwa mwanamke aliyekamilika kutongozwa siyo story. Story ni kama ungetendwa Kinyume cha tabia au maumbile – Consigliere
- Pumba nyingine hazifai hata kulisha ng'ombe – Lizzy
- Bora Tanganyika, Tanzania wizi mtupu - Kumbakumba
- Nguruwe na ngiri wote haramu, ni mfano tu – Kongosho
- Lakini jamani bandugu kutongoza ni crime? Kutongozwa je? – bht
- Wenye akili zetu maeneo ya hivi tunayapita kama vile hakuna hata sisimizi! – PakaJimmy
- Ujue mie mtoto wa fisadi??..kwetu kuna tv mpaka chooni ati, Nikimwambia baba utapata shida sana... – sweetlady
- Nalog off – Washawasha
- It's nice to admit when you're shitty! - Peasant
- Kama hupenda c.r.a.p acha kuandika c.r.a.p – Lizzy
- Itakuwa una plasmodium wengi kichwani kwako – nsangaman
- Sasa ndio najua maana ya "chit - chat"! – SMU
- Inabidi watu waelewe maana halisi ya neno "kuoana" na si kuoa au kuolewa – Faiza Foxy
- Nikipata mwenza humu JF na kubahatika kupata mtoto, nitamwita mtoto Paw - BADILI TABIA
- Unachotaka kufanya ni sawa na maharage yakatae kuiva halafu unayaponda kwa mwiko, jibu ni kuwa hayajaiva tu na hayatakuwa na ladha Kongosho
- Yani huyu dada cjui kaweka ulimbo kwenye hii sredi yake kila nkitaka kutoka najikuta naendelea kusoma comment za watu kwa fupi leo nimeiba muda wa mwajiri pasee na sasa naishia hadi kesho hata sredi nyingine cjasoma – sakapal
- JF is never boring – The Boss
Chao

Reply With Quote





Follow Us Here