Au wadau mnasemaje?
Au wadau mnasemaje?
Baada ya kumaliza weekend, Erotica umetukumbuka na umekumbuka katiba mpya...duuh
We are all inventors, each sailing out on a voyage of discovery, guided each by a private chart, of which there is no duplicate. The world is all gates, all opportunities.
Ralph Waldo Emerson
Mungu wangu baba wa mbinguni naomba uwasamehe watumishi wako Erotica na RR dhambi zao zote walizotenda hapa duniani na vitandani, tangu walipozaliwa mpaka watakapo RIP. Kwakuwa mwenyewe unaona jinsi walivyomwaga haya mayuziful posts hapa chini.Wafuatao wanasalimiwa na ODM akiwa kitandani bila kuzingatia itifaki... AshaDii. RussianRoulette, sweetlady, MwanajamiiOne, Cantalisia, @Zion Daughter, bht, Preta, Blaki Womani, Kongosho asali ya ODM, King'asti, FirstLady1, Amyner, mkwe Fixed Point, agemate Mamndenyi, Mwalimu Gaijin Kabakabana, Mdaiwa wangu sugu Prishaz Lily Flower na nani tena ooh doh huyu sio wa kumsahau, mzaa chema wangu gfsonwin.... Ujumbe: Karibuni kaunta ya juu...By Erotica;397164babu zangu vipenzi [B
Midume mtanisamehe sana. Hapa anasalimiwa tabibu mwenzangu klorokwini peke yake... Ujumbe: Ongeza juhudi, wodi imefurika huku.
Samahani eti leo ni jumangapi?
Baada ya kusema hayo natangaza rasmi.... SRED KLOZD..
....Shimo La Panya Halifunikwi Kwa Mkate.....
Asprin
Hahaha weee kaa tu, kuna siku utaambia leo ndo ile siku ya hesabu, wewe unauliza jumaa ngapi!
Vitanda havina dhambi zozote! Asprin
Bunge: Upuuzi unaolindwa na sheria...kwa kutumia hela za Watz!
Babu Asprin sikubali, yaani mie umeniweka wa mbali hivyo pamoja na kuwa Asali wako?
Naandamana kwa kweli.
Afu badilisha lile godoro, limekuwa ulimi sana.
No matter how hot your anger is, it can not cook yams-Nigeria
Hivi mwalimu wangu Gaijin, ni nini tofauti kati ya hesabu na hisabati?
Ni kweli RR vitanda havina dhambi ila dhambi inatokeamo kwenye vitanda vyenye magodoro....
Hahaha we Kongosho asali ya ODM hujasoma maandiko kuwa wa kwanza atakuwa wa mwisho na wa mwisho atakuwa wa kwanza? Basi ukialikwa kwenye harusi usiketi katika kiti cha mbele.... Godoro ntabadili ila sitakikaza kitanda ili majirani wasikiemo kinavyolia wajuemo kinachoendeleamo.
....Shimo La Panya Halifunikwi Kwa Mkate.....
Usijali mzee mwenzangu Mwalimu,
Ni jukumu letu wazee kusaidiana kuwalea hawa wajukuu wa kizazi cha dot com.
BTW nichome na mbuzi kabisa au utashushia na mishikaki?
....Shimo La Panya Halifunikwi Kwa Mkate.....
Hahahaha Blaki Womani, huyu Mwalimu panamhusu sana kwa Mromboo huyu.... tukishapiga makitu tunahamia RIP au Picnic then..... Kamata Raum tupa kule, chukua RAV 4 weka hapa.... kamata jirani tupa kule chukua binamu weka hapa.... kamata glasi, kesto laiti na tusker malt mimina kwa wingi hapa....... afu Vruuuuuuuuuum.... dadadadadadadeki!
Kesho kamata loku fungua hapa....manina unusu!
Bila kusahau: Jogoo koko huwezi kumjua mpaka aanze kuwika
....Shimo La Panya Halifunikwi Kwa Mkate.....
Asante kwa salamu Babu Asprin, hayo mambo ya madai yametokea wapi tena khaa!
MY LOVE IS YOUR LOVE.
hahahahahah Mwalimu lazima achanganyikiwe kabla ya kupiga kwa mchuzi wa utumbo..... raha tupu ama kweli siku hazigandi
Be who you are and say what you feel because those who mind don't matter and those who matter don't mind - "Dr. Sues"
Madai gani nimedai we Lily Flower?Hahaha na mapafu kwa wingiiiiiiii
....Shimo La Panya Halifunikwi Kwa Mkate.....
Kuna sun gogos nilivaa ngoja nivue then nirejee post yako ya salaam Asprin
MY LOVE IS YOUR LOVE.
Asprin saa tatu na dakiki 02 uko kitandani unafanya nini Babu?
Babu eti Ng'ombe hazeeki maini?
No one is in charge of your happiness except you...
God time is the best..
Asante baba ODM kwa salam nami naziitikia kutokea kitandani juu yangu kanlalia Rejao tunapiga story babu!
Niko hapa nakusubiri mpaka kieleweke.. Na ole wako kisieleweke ntakubadili jinsia wallah...
Kitanda si ndo makao makuu ya wazee bibie FirstLady1 ? Si maini tu, hata kikojoleo chake hakipunguzi kasi ya kumwaga mkojo.
....Shimo La Panya Halifunikwi Kwa Mkate.....
Follow Us Here