Jamani wanajamvi naombeni mnijuze, hivi kipi kilijiri kipindi sipo?
Huyu mdada ni wifi yangu kabisaa na tulikua tunaiva.Leo nimerudi naona ananianzishia vijembe.Nisaidieni jamani lol

......khaaaaaaaaaa!.....
Life without problems never make a strong and good person!
Aisee...!
ma-wifi huwa hamuelewani,hiyo ipo wazi kabsa
Afu Asprin , hiyo avatar yako hiyo.
Life without problems never make a strong and good person!
Mh!!..
wifi nae,na hili pia kaseme
ASIYEUMBA HAUMBUI
Heheheee aruuu....
Follow Us Here