natamani yaani natamani sanaaaa yaani natamani kuwa.........yaani masela natamani eti mademu je mpo?mi natamani je wewe hapo ulipo unatamani nini?
natamani yaani natamani sanaaaa yaani natamani kuwa.........yaani masela natamani eti mademu je mpo?mi natamani je wewe hapo ulipo unatamani nini?
ASIYEUMBA HAUMBUI
natamani kuwa na 'M' milele na milele! lolest.
Natamani nini,
sijui hata mimi.
SIYO WOTE WANAOTANGATANGA WAMEPOTEA
Endelea kutamani.
Endelea kutamani.
tamani nini sasa lizzy
ASIYEUMBA HAUMBUI
Subiri wakware waje.
Natamani nini,
sijui hata mimi.
mamndenyi si ufunguke unatamani nini?jamani
ASIYEUMBA HAUMBUI
Subiri wakware waje
haki ya jf vile bishanga siwaogopi nawasubiri.........sema basi unatamani nini yakheee!!
ASIYEUMBA HAUMBUI
nikumbushe
nikumbushe
mapi eti unatamani nini?
ASIYEUMBA HAUMBUI
nakutamani kuvuta bangi misokoto kumi mpaka sasa nshastua mitano..
du ndetichia uko salama kweli?
ASIYEUMBA HAUMBUI
tamaa ilimponza fisi....
Chunga tamaa mbaya
..hutamani kunanniliwa...
@ummu kuluthumu, si nilshakwambiagaaa. Ndo mana nkakwambia unikumbushe.
Natamani natamani nini tenah! Aah natamani..... Nimesahau.
Aaaah kumbe natamani money2.
natamani ningetamani kitu.
Come this way baby.......... Mwaaaaaaaah!
...mmeó/mkeo kasafiri eeh..!
mrembo Erotica umefka sa ngap huku? Samahan uzur wako ndo umesababsha nikusifie.
Mapi kwani siruhusiwi? teh teh teh. chukua hio. mwaaaaaah.
Come this way baby.......... Mwaaaaaaaah!
Follow Us Here