......... na kisha mkabahatika kupata mtoto,je kwa heshima na kumbukumbu ya jamiiforums huyo mtoto mtamwitaje?
Nahitaji ushauri wa haraka tafadhali.
......... na kisha mkabahatika kupata mtoto,je kwa heshima na kumbukumbu ya jamiiforums huyo mtoto mtamwitaje?
Nahitaji ushauri wa haraka tafadhali.
he he he, ngoja nimwite M'Jr aje anisaidie kutabiri.
Wee mwalimu wangu wa utabiri njoo huku.
jipendekeze bila kuchoka! mwisho kitaeleweka!
kaka kulinganishwa huko kubaya waweza dhania kuwa umeacha mtoto kumbe wakuja kulea wa mwenzio siwezi uliza ulikuwa wapi kutafuta coz sijui historia yako.nenda taratibu mwite ongea naye kwa kina atafunguka tu. swala la kumature enough kwa muda huo kawa enough sema ni akili ya mtu she is my agement i can sense she is matured enough else
Mwite Invisible
JF rahaaaaaa.
wakike Erotica.
wakiume Erotics.
Come this way baby.......... Mwaaaaaaaah!
Dah.........!
Follow Us Here