......... na kisha mkabahatika kupata mtoto,je kwa heshima na kumbukumbu ya jamiiforums huyo mtoto mtamwitaje?
Nahitaji ushauri wa haraka tafadhali.
......... na kisha mkabahatika kupata mtoto,je kwa heshima na kumbukumbu ya jamiiforums huyo mtoto mtamwitaje?
Nahitaji ushauri wa haraka tafadhali.
Faiza Foxy
Kama kuoga ni usafi kwanini taulo linachafuka?
Kwanza huyo mtoto umempata na nan?
Nataka kumtafutia jina zuri
kama mama Kongosho ndo raha, anakuwa anaitwa kwa kifupi tu Mama K.
kwa ajili ya kumbukumbu ya jamiiforums and the one i love i will let my lover choose a name for our child. whatever she is going to choose will be a gift for her and JF.
Advertise your products, business & services with us 100% free |www.globaladverts.biz
by the way since am cacico, nitamuita caccy akiwa a gal, akiwa a boy mhhh......... nitamuachia dad wake!
my favourite food umejuaje kha! bathi ngoja nikutajie herufi ya mwanzo anaanziwa na 'M', ila silijui jina lake halisi, natamani hata kuchungulia profile yake naogopa, by the way young master we ni wa kale hapa, hujawahi admire mtu hapa??? mi nimekuja juzi na tayari namuadmire huyo mtu vibaya, yaani comments zake tu, na lyrics zake NAFWA!
Follow Us Here