Ahsante sana ndugu mtangazaji kwa kunikaribisha katika kipindi chako maridhawa.Nianze kwa kukuomba uondoe hako ka laptop hapo ili nikuchungulie vizuri.
Mithali maswali yako umeyaandaa kwa mandishi nitayajibu kwa maandishi pamoja na kwamba tupo pamoja studio hapa lower manhattan,new york.
Twende moja kwa moja kwenye majibu numerically.
1.Nimezaliwa katika hospitali ya Asp and Clor ,london,majira ya joto,1940.Baba yangu ni mtanganyika wa kwanza kwanza kusoma UK,alikwenda na mama.
2.Kujamiiana 1st time? Of course nilijifunzia kwa housegirl,who else (vijana wote waliokulia ostabei ndo zao anyway akiwemo rejao).
3.Kutendwa? Mbaya wangu unamjua anaishi Unga ltd.
4.Kuoa? Nimeoa,nikaacha,nikaoa,nikaach a,nikaoa,nikaacha,nikaoa...... ....
5.Tukio la huzuni?Kumfumania mai waif wangu na shamba boy,hivi wanawake mkoje? (Shamba boy mwenyewe anaitwa kongosho),kidogo niue.
6.Tukio la furaha? Nyani Ngabu alivyopigwa chini na mkewe,alimfumania na hausgel.
7.Rangi za nguo? Bishanga ni mtu wa white,white underwear,white singlet,white henkachif.Sipendi jeans.
8.Msosi? Mi ni mtu wa serena,karambezi,hyatt....na huko mi ni kufakamia mi prawns,rare steak,ma caviar, of course nasukumia na wine za ukweli,jioni henken.
9.Zinduna bana,el presidaa niko naye deile,mi ndo chif advaisa wake mambo ya uchumi,biashara na mifweza.
10.Legacy? Do i really need to have a legacy? Basi legacy yangu itakuwa kumshawishi Husninyo arudi jamvini.
Nimalizie kwa kusema mgeni wako ajaye naomba awe Lizzy tafadhali,kuna neno nataka kusikia toka mdomoni mwake.
Follow Us Here