itv habari za saa... kijana hamisi amejinyonga jana jioni ktk hostel zilizopo makumbusho bila kuafha ujumbe
..... eeeh wasomi wa tanzaniaaa yetu jamani
itv habari za saa... kijana hamisi amejinyonga jana jioni ktk hostel zilizopo makumbusho bila kuafha ujumbe
..... eeeh wasomi wa tanzaniaaa yetu jamani
pole kwa wafiwa.
Unaweza kuta mapenzi.
yawezekana ni kwaajili ya ushindi wa mnyika.pole zake
Sio ishu ya mikopo kweli?
Kweli Kongosho maana siku hizi inabidi tuliongeze kwenye leading killer diseases! Poleni sana wafiwa na jamii nzima ya chuo.
R I P Hamisi Mwanachuo.
* Nitashangaa kama hawa Watanzania watakataa kuasi. Kwanini wasiasi? * - Julius Kambarage Nyerere
Poleni wafiwa, sijui marehemu aliwaza nini.
from what i saw jamaa he was like normal tu...police report "uchunguzi unaendelea" ..babaake mdogo kahojiwa akasema there was nothing abnormal avout the boy... rafiki zake walikuwa nae fresh tu ila ikafika kipindi jamaa simu yake ikawa inaita tuuu hapokei..ikabidi waebde rum kumchungulia wakakuta kama amelala..ku heki fresh wakagundua jamaa kashaharibu... police were called n some further normal proceedings on these incidents were conducted by the police..
MWANA KAWA MSIRI SANA...LABDA taarifa ya habari ya saa12/jiji letu watairusha tena(itv)
jamani RIP mwanachuo wawatu
huyo jamaa ni jasiri sana. Hajaacha ujumbe?
Maisha kweli ni kitendawili.
SIYO WOTE WANAOTANGATANGA WAMEPOTEA
Follow Us Here