itv habari za saa... kijana hamisi amejinyonga jana jioni ktk hostel zilizopo makumbusho bila kuafha ujumbe
..... eeeh wasomi wa tanzaniaaa yetu jamani
itv habari za saa... kijana hamisi amejinyonga jana jioni ktk hostel zilizopo makumbusho bila kuafha ujumbe
..... eeeh wasomi wa tanzaniaaa yetu jamani
Mtihani kwa kweli, hatujui mwenzetu amefikwa na nini.
Ni kuomba tu Mungu atuepushie na masaibu km haya
so wat???
"If I have seen further it is by standing on the shoulders of Giants" (Newton, 1675)
Follow Us Here