dah hawa jamaa wameua kabisa dk 15 tgo-tgo, sms 100 plus MB 50 siku nzima kwa only tsh. 450.!!! na hii likizo yangu mpka vidole viote sugu, usisahau kunipm namba yako nikuadd kwenye chat rum...
dah hawa jamaa wameua kabisa dk 15 tgo-tgo, sms 100 plus MB 50 siku nzima kwa only tsh. 450.!!! na hii likizo yangu mpka vidole viote sugu, usisahau kunipm namba yako nikuadd kwenye chat rum...
*148*01# fuata maelekezo
watu humu wachafu....eti wamesikia tigo wakashtuka wakaingia humu kwa kasiiii...kumbe..
Every saint has a past, every sinner has a future' ...Oscar Wilde
One man's good fortune is another man's misfortune
hawa washenzi kama hawawezi biashara wawapishe wenzao jana kusikia nkajiunga fasta cha ajabu mpaka jioni nimekatwa salio lote nlokua nalo leo sikukoma nkajiunga na kifurushi cha wiki kwa 2500 nkakatwa salio kimya eti tafadhali subiri ombi lako linashughulikiwa mpaka sasa bado nkajiunga hicho kipromosheni chao wakakata salio na kuniunganisha nimejaribu kupiga huduma kwa wateja hawapatikani!!!!!!!na kila mara wananifanya shamba la bibi yao mafala kweli!!!!!!!!!!!!
wapuuz sana dumisha. km watumia airtel tuma neno "internet" kwenda no.15444 utapata bunddle ya mwez kwa sh.2500 ndo me hutumia hyo
zantel na epicnation ndo mpango mzima.
hiyo offer ya tigo ni ya uongo hawakupi dk15 za ukweli, jana nimejiunga nimeongea dk hata 5 hazikufika wakanikata hela zangu... wizi mtupu!!
Deejay nasmile likes your comment
Deejay nasmile likes your comment
hebu weka namba zako hapa..
Follow Us Here