Hv unaweza kuta humu jf wanaoongoza kwa sredi za vituko na majibu ya hovyo hapa JF ni watu maarufu or viongozi wakubwa serikalini or mashirika ya dini or NGO's wanarelease stress. Kwa mfano Lizzy = Anna Makinda, Ritz = Wassira, Kingkong = Pinda ongeza wengine unaowafikiria

Reply With Quote




Follow Us Here