Wanabodi.
Wadau wa Chit-Chat nipo kwenye utafiti fulani naombeni mnisaidie kufahamu ni mkoa gani Tanzania wakazi wake wanaongoza kwa kutumia simu za kichina.
Wanabodi.
Wadau wa Chit-Chat nipo kwenye utafiti fulani naombeni mnisaidie kufahamu ni mkoa gani Tanzania wakazi wake wanaongoza kwa kutumia simu za kichina.
hahahaha kwa sasa kukuta cm za kiukweli ni ngumu'
karibia kila mtz anatumia simu ya kichina jombaa
za ukweli sasa zinahesabika
Never hate people who are jealous of you,
Instead love them because they're the ones,
who think you are better than them…
mkoa wa pwani
Zabibu haimenywi...
Wasukuma, wanapenda zenye miziki na zinazo wakawaka, yaan zenye warangi rangi
Songea wanatisha, ukienda madukani hakuna original hata moja full mchina every where mpaka kwa raia, wachache sana wanatumia original, na hawa unakuta wamenunua DSM
Nicas Mtei.
Kariakoo wanauza tu nilikuwa naulizia watumiaji.
shinyanga kule simu original hupati
Yeah.........Ni kweli kabisa Shinyanga, Tabora na Mwanza kote huko ni MCHINA kwa kwenda mbele..............
Nimesahau na SINGIDA pia...........
mtambuzi uko sahihi kabisa hawa watani zangu wasukuma si mchezo, enzi zile za philips wakitamta philipus mtaniii mnatisha. Sasa hivi wamegeukia mchina full miziki maana simu ya mchina ikiita kidogo tu ni full blast
Nasikia hata Mtwara ni mchina kila kona...
Mkuu ritz ukipeleka simu ya kichina inayowaka na ina line nne basi unaweza kuondoka na ng'ombe watano kwa simu moja toka kule Bariadi ama Maswa.
CCM na CDM vyote ni vyama vya siasa vinavyoongozwa na wanasiasa; tofauti yao kubwa ni moja kwamba kimoja kina dola kingine kinataka kushika dola.
ha haa haaa Mkuu wangu Kimbunga tatizo la simu za kichina kuzima kelele kuwasha kelele..
Mkuu ritz kama unafanya market research basi wewe jua soko lipo Shy na Simiyu! Wewe toa order tu kwa hao Wachina lakini hakikisha simu ina muziki, TV, na Radio pia ina marangirangi yanoyomeremeta. Hapo hakika utapata soko huko. Wanapenda makelele hao ndio maana wanaenda kuchunga ng'ombe huku wana radio cassette wanakula muziki.
CCM na CDM vyote ni vyama vya siasa vinavyoongozwa na wanasiasa; tofauti yao kubwa ni moja kwamba kimoja kina dola kingine kinataka kushika dola.
Mkuu wangu Kimbunga nimekupata vizuri hujue saizi Mchina katoa simu mpya line sita ina TV na Radio.
Follow Us Here