Wanawake ndio wanaongoza kwenda kwa waganga.
Wanawake ndio wanaongoza kuwa na mapepo/ majini.
Wanawake ndio wanaongoza kwa kuanguka kwenye maombezi.
Wanawake ndio wanaongoza kwa kukimbilia makanisa ya kilokole.
Nini kipo nyuma ya haya yote?
Wanawake ndio wanaongoza kwenda kwa waganga.
Wanawake ndio wanaongoza kuwa na mapepo/ majini.
Wanawake ndio wanaongoza kwa kuanguka kwenye maombezi.
Wanawake ndio wanaongoza kwa kukimbilia makanisa ya kilokole.
Nini kipo nyuma ya haya yote?
KAZI NDIO MSINGI WA MAENDELEO. NCHI MASIKINI HAIWEZI KUENDELEA KWA MSINGI WA FEDHA. NCHI MASIKINI HAIWEZI KUJITAWALA KAMA INATEGEMEA MSAADA KUTOKA NCHI ZA NJE- J. K. NYERERE
A diplomat is a man who always remembers a woman's birthday but never remembers her age.
La Dolce Vita
mtazamo wangu: wanawake wana roho ya woga sana na wepesi kutafta msaada...pia ni warahisi kuamini jambo! Bujibuji tia vema/nike hapo fasta.
Ndio mana NYOKA/shetan lilianza kumshawishi /kumwingia kwanza mwanamke na kumdanganya ndipo mwanamke akamdanganya mwanaume.
mmmmmh kwa kuwa hayo yote hapo juu mie sina acha ninyamadheeeee
Kila mmoja atasema,
mimi sina hata moja kati ya hivyo ulivyosema mkuu.
SIYO WOTE WANAOTANGATANGA WAMEPOTEA
Kutokujiamini kwao kwenye relation na wanaume zao kunachangia sana kujihusisha na hayo.
Nishaona mdada ametoka asubuhi kwenda job, ameshafika nyumba ya pili toka anapoishi akakumbuka amesahau kujitazama kwenye kioo, akarudi home akajiluku , kisha akatoka tena! Mwanaume anaweza kufanya kioja cha hivi ? Labda lonjo.
Judgement mbona mie sina kioo kwangu? Mmmh inabd nikachungulie jinsia yangu
samahan Judgement, kioo kinahuckaje kwenye mambo ya giza?
Fahamu kwamba mwanamke ni kama ndoo ya kuteka maji. Anateka yote kutoka kwenye jamii inayomzunguka.Akianza nyumbani kwake watoto wanambugudhi, mumewe anamdharau na kumwonea (generally) majirani wanamsema, kazini anafuatwafuatwa, nk. Yote haya yanamwondolea kujiamini (self confidence) na yote haya hana habari nayo. Mambo yanapomzidi anaona kama kuna nguvu fulani ipo ndani yake inayotaka kumwangamiza. Bila kujifahamu, anakuwa mwepesi sana kulia na kuamini kama kuna 'kitu'.Katika hali yake, akitokea mtu akajitambulisha kuwa ni mtumishi wa Mungu na ana uwezo wa kutoa mashetani, huyu mwanamke anaamini kwa nguvu zote kwamba ana mashetani (pepo) na imani hii inamfanya aweweseke na kuwa kwenye hali isiyo ya kawaida. Ndo maana katika mikutano ya maombi wanawake na wasichana hupatwa na kiwewe na kuanguka na kudhaniwa wana pepo.
Baadhi ya wanaumei hawakutani na masaibu ya mawasiliano kama niliyotaja hapo juu na ndio maana hawaoneshi taswira ya kimapepo(nguvu za giza) kama wanawake.
MGENI RASMI: CCM OYEEEEEE!
WANANCHI: HAITOKIIIII. HAITOKI!
(Kwa Hisani ya Wanamtwara)
Judgement jamani ina maana mie sitaki kuona uso wangu kama hauna tongotongo au la?
Ikitokea jinsia siioni ntaenda loliondo kwa babu loh
CUTE you are so cute
KAZI NDIO MSINGI WA MAENDELEO. NCHI MASIKINI HAIWEZI KUENDELEA KWA MSINGI WA FEDHA. NCHI MASIKINI HAIWEZI KUJITAWALA KAMA INATEGEMEA MSAADA KUTOKA NCHI ZA NJE- J. K. NYERERE
Follow Us Here