Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Jamani MKIBAKWA msioge!!!

    Report Post
    Results 1 to 16 of 16
    1. #1
      Young Master's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 22nd December 2008
      Location : Arusha, Tanzania.
      Posts : 6,101
      Rep Power : 7416
      Likes Received
      2063
      Likes Given
      1476

      Thumbs up Jamani MKIBAKWA msioge!!!

      Madaktari wamewatahadhirisha watu wanaobakwa kwamba wakishatendwa hivyo wasioge au kubadili nguo kwa sababu kufanya hivyo kunapoteza ushahidi muhimu wa kumtia hatiani kisheria mbakaji.

      Imeelezwa kuwa mtu akibakwa, anapaswa kwenda Polisi haraka kupata fomu namba tatu (PF3) na awahishwe hospitali ya wilaya ambako atapewa matibabu ikiwa ni pamoja na dawa ya kuzuia maambukizi ya virusi vya ukimwi (VVU).

      Dawa ya kuzuia maambukizi ya VVU inayojulikana kama PEP, inaweza kufanya kazi endapo tu mwathirika atapewa ndani ya saa 72 baada ya kubakwa kama kabla ya kubakwa hakuwa na maambukizi.

      wasichana na wanawake wengi wanaofika hospitalini baada ya kubakwa na kunajisiwa, huwa wamepoteza ushahidi kwa kuoga na kubadili nguo walizovaa wakati wakibakwa. Wanawake wengi hufika hospitalini wamechelewa na hivyo kuwa katika hatari kubwa ya kupata maambukizi ya VVU.

      Kesi nyingi za ubakaji zimekuwa zikikosa ushahidi wa madaktari, kwa sababu aliyebakwa anatakiwa kupelekwa hospitalini akiwa na nguo zake na ‘uchafu’, kwa sababu ushahidi wa Polisi na daktari kuwa tendo la ubakaji limefanyika ni nguo alizobakwa nazo mwathirika.
      Advertise your products, business & services with us 100% free |www.globaladverts.biz

    2. Study Abroad

    3. #2
      mtotowamjini's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 23rd April 2012
      Location : None of Your Business
      Posts : 4,531
      Rep Power : 1262
      Likes Received
      1109
      Likes Given
      28

      Default Re: Jamani MKIBAKWA msioge!!!

      sasa hata kama asipooga kama huyo mbakaji alitumia condom...would it really matter??
      bombu likes this.
      Every saint has a past, every sinner has a future' ...Oscar Wilde

      One man's good fortune is another man's misfortune


    4. #3
      Young Master's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 22nd December 2008
      Location : Arusha, Tanzania.
      Posts : 6,101
      Rep Power : 7416
      Likes Received
      2063
      Likes Given
      1476

      Default Re: Jamani MKIBAKWA msioge!!!

      Yep it matters.
      Advertise your products, business & services with us 100% free |www.globaladverts.biz

    5. #4
      Junior. Cux's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd February 2011
      Posts : 832
      Rep Power : 586
      Likes Received
      153
      Likes Given
      24

      Default Re: Jamani MKIBAKWA msioge!!!

      duh hii inawahusu wengine... napta 2

    6. #5
      Angel Nylon's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 26th July 2011
      Posts : 820
      Rep Power : 638
      Likes Received
      139
      Likes Given
      48

      Default

      Quote By Junior. Cux
      duh hii inawahusu wengine... napta 2
      Hata ww inakuhusu, ukaelimishe na wenzio

    7. FemaTV & Radio

    8. #6
      Young Master's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 22nd December 2008
      Location : Arusha, Tanzania.
      Posts : 6,101
      Rep Power : 7416
      Likes Received
      2063
      Likes Given
      1476

      Default Re: Jamani MKIBAKWA msioge!!!

      Quote By Angel Nylon
      Hata ww inakuhusu, ukaelimishe na wenzio
      Angel Nylon hata na wewe pia inakuhusu
      Advertise your products, business & services with us 100% free |www.globaladverts.biz

    9. #7
      Ambitious's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 26th December 2011
      Posts : 1,802
      Rep Power : 733
      Likes Received
      559
      Likes Given
      243

      Default Re: Jamani MKIBAKWA msioge!!!

      Inamhusu kila mtu either directly or indirectly.

    10. #8
      Junior. Cux's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd February 2011
      Posts : 832
      Rep Power : 586
      Likes Received
      153
      Likes Given
      24

      Default

      Quote By Angel Nylon
      Hata ww inakuhusu, ukaelimishe na wenzio
      sina mwenzangu kwa hyo stil hainiusu..

    11. #9
      beibe nasty's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th April 2012
      Posts : 1,485
      Rep Power : 4541
      Likes Received
      414
      Likes Given
      11

      Default

      Quote By Junior. Cux
      duh hii inawahusu wengine... napta 2
      Tabia yako mbaya pm yangu hujaiona

    12. #10
      beibe nasty's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th April 2012
      Posts : 1,485
      Rep Power : 4541
      Likes Received
      414
      Likes Given
      11

      Default Re: Jamani MKIBAKWA msioge!!!

      nimeelewa ntafanya hivo

    13. #11
      Junior. Cux's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd February 2011
      Posts : 832
      Rep Power : 586
      Likes Received
      153
      Likes Given
      24

      Default

      Quote By beibe nasty
      Tabia yako mbaya pm yangu hujaiona
      ah jaman mbona cjaichek bado, ka vp nitupie nyingne..

    14. #12
      Junior. Cux's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd February 2011
      Posts : 832
      Rep Power : 586
      Likes Received
      153
      Likes Given
      24

      Default

      Quote By beibe nasty
      nimeelewa ntafanya hivo
      umeelewa kwel wewe??? Ata siamini, ngoja nije nikujaribu nione ka utapatia kufanya yaliyoxemwa...

    15. #13
      bombu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 8th June 2011
      Posts : 1,035
      Rep Power : 878
      Likes Received
      497
      Likes Given
      592

      Default Re: Jamani MKIBAKWA msioge!!!

      Quote By mtotowamjini
      sasa hata kama asipooga kama huyo mbakaji alitumia condom...would it really matter??
      We kweli mtotowamjini. Hivi ulishasikia wapi mtu anabaka kwa kutumia kondomu? Anakuwa amejiandaa kiasi gani kubaka? Lol, this is really funny
      Knowledge is knowing that a tomato is a fruit, but Wisdom is knowing not to put it in a fruit salad

    16. #14
      Young Master's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 22nd December 2008
      Location : Arusha, Tanzania.
      Posts : 6,101
      Rep Power : 7416
      Likes Received
      2063
      Likes Given
      1476

      Default Re: Jamani MKIBAKWA msioge!!!

      Quote By bombu
      We kweli mtotowamjini. Hivi ulishasikia wapi mtu anabaka kwa kutumia kondomu? Anakuwa amejiandaa kiasi gani kubaka? Lol, this is really funny
      Ha ha haaaaa!!! Umenifurahisha sana Bombu.
      Advertise your products, business & services with us 100% free |www.globaladverts.biz

    17. #15
      Young Master's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 22nd December 2008
      Location : Arusha, Tanzania.
      Posts : 6,101
      Rep Power : 7416
      Likes Received
      2063
      Likes Given
      1476

      Default Re: Jamani MKIBAKWA msioge!!!

      Quote By Junior. Cux
      umeelewa kwel wewe??? Ata siamini, ngoja nije nikujaribu nione ka utapatia kufanya yaliyoxemwa...
      Umesikia beibe nasty ni test tube hadi ukamfanyie majaribio?
      Advertise your products, business & services with us 100% free |www.globaladverts.biz

    18. #16
      mtotowamjini's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 23rd April 2012
      Location : None of Your Business
      Posts : 4,531
      Rep Power : 1262
      Likes Received
      1109
      Likes Given
      28

      Default Re: Jamani MKIBAKWA msioge!!!

      Quote By bombu
      We kweli mtotowamjini. Hivi ulishasikia wapi mtu anabaka kwa kutumia kondomu? Anakuwa amejiandaa kiasi gani kubaka? Lol, this is really funny
      kuna watu wanabakwa na ndugu zao, waume zao, marafiki...kuna wengine wanakua prepared.. kwani what is kubakwa? kubakwa ni pale mwanamke anaposema hapana hata kama alisema ndio kaabla na akalazimishwa...hiyo inaweza kutokea hata kwa mume wake...so whats so funny there, uuliza mapolisi watakuambia kuna wabakaji wanatumia kondomu kwani wao hawajui kuna ukimwi
      Every saint has a past, every sinner has a future' ...Oscar Wilde

      One man's good fortune is another man's misfortune


    19. Miaka 50

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...