Huyo mwenye flana nyekundu ambaye ameshika fimbo ni Invisible a. k.a Robotics
Attachment 53574
Huyo mwenye flana nyekundu ambaye ameshika fimbo ni Invisible a. k.a Robotics
Attachment 53574
The CCM is a crime syndicate, Most members and MPs of CCM are corrupt. No conceince, No brains no nothing, just bunches of criminal and theft. Corruption cost mlalahoi in de street.
Hapa ilikuwa Mods wametoka kwenye vikao vya awali na baadhi ya wadau kuandaa sheria za BAN!!!!
AshaDii ndivyo ulivyokuwa daaah bado unanyonya kidole
Mimi kunitambua ni rahisi.... Nimevaa gauni la blue, ndie nilikua baby sitter wa kina Invisible na Cookie. Enzi hizo mda huo tayari mchumba nisha tafutiwa. lol. Mbabu alikua na ndevu kama za Osama.
Blaki Womani na Mzalendo80 nimefurahi kuwaona wapendwa.... Naamini weekend ilikua ni njema kwenu na wapendwa wenu.
"Emancipate yourselves from Mental Slavery,
NON but Ourselves can Free our Minds"
- Bob Marley (Redemption Song)
Cookie
nimekuona, umeweka bonge la pozi, chezea picha....
Enzi hizo ilikuwa raha sana. Nilikuwa bingwa wa kucheza twist 10yrs later,,, achana na mabingwa wa viduku wa siku hizi
utoto raha sana, angalia mmoja hapo mbele, ustawi wote uko nje lakini yeye anaona poa tu.....
Baby sitter wewe ulikuwa poa sana sema "anko madevu" alikuwa anatuonea sana AshaDii
RussianRoulette ni yule wa kulia kabisa mwenye sketi ya kijani afu topless.
Anaonekana alianza kutafakari tangu mdogo
afu ka King'asti kako kushoto kwa RR kanachungulia, kamependedha hakajapendedha, kamependedhaaaa!
afu aliye mbele ya mwenye gauni la blue ni Buchanan, very strong.
hii picha mmeitoa wapi mbona ni familia yangu hii
Information is not knowledge
Albert Einstein
Madame RussianRoulette, je peux demander un rendez vous par force juste pour le contact'
...To Defeat your Enemy, become your own Enemy...
Mh Fang lugha gani hii?
Kujipenda ni Pamoja na Kuutunza Mwili wako!
Acha Ngono,UKIMWI unaua!
Mkuu Erickb52 it is French Lingua.
...To Defeat your Enemy, become your own Enemy...
Madame RussianRoulette hapo kwenye red pameniogopesha lol
Kumbe kuna mamba? Ngoja nilale zangu!
BTW:Mzima?
Kujipenda ni Pamoja na Kuutunza Mwili wako!
Acha Ngono,UKIMWI unaua!
Hahahaha, Fang, let's sort our pending issues on PM before we think of a date, shall we? hahaha.
Mi mzima kabisa. Hao mamba wanajulikana, mi mjusi tu katika msafara wao...
Information is not knowledge
Albert Einstein
Hahahahaaaa RussianRoulette umenimecheka kiukweli Dah
Halafu Fang kakugongea like....Lol sijui na yeye ni nanii au yuko nawewe kwenye kundi lako...Teh
Kujipenda ni Pamoja na Kuutunza Mwili wako!
Acha Ngono,UKIMWI unaua!
Fang ni bonge la Lacoste yule, usijaribu! lol
Information is not knowledge
Albert Einstein
Follow Us Here