waziri Mkuu - erickb52
waziri wa fedha - excellent
waziri wa ulinzi- kingkong III
waziri asiye na Wizara Maalum ni - Kongosho kwa sababu yeye mwenyewe hatumueelewi!
waziri Mkuu - erickb52
waziri wa fedha - excellent
waziri wa ulinzi- kingkong III
waziri asiye na Wizara Maalum ni - Kongosho kwa sababu yeye mwenyewe hatumueelewi!
kingkongIII ungempa wizara ya utalii na Excellent ukampa wizara ya elimu, wizara ya fedha Maprosoo na mambo ya nje Askari Kanzu.
hahahaa! hyo ya mwisho meipenda. a.k.a WAZIRI ASIYE NA WIZARA MAALUMU.....
Vp wizara ya kupiga watu bann??
....mmhh... Pombe hizi...
...niltamani hiyo ya "kiraka"
Mimi mbona simo...
IGWE, Nafikiri upewe wizara ya jinsia na watoto itakufaa sana!
napendekeza Mzizimkavu apewe wizara ya afya!
teh teh,means hana umuhimu km kiraka chenyewe!
me naomba uwaziri wa viti maalumu! hahaaa
MUSSOLIN fanya mpango naibu wangu awe mrembo
Mbuzi kafia kwa mwuza supu.
Follow Us Here