Re: Happy Birthday The Finest

By
Mr Rocky
Siku na miezi imepita
Leo ni siku pekee katika maisha yako
Siku ambayo mama yetu mpendwa alikuleta duniani
Ni furaha yetu sote kusherehekea pamoja na wewe na kukupongeza kwa siku hii njema katika maisha yako
Siku ya kukumbuka kuzaliwa kwako
Tunakuombea maisha marefu na yenye furaha Mungu akikutangulia katika yote
Happy Birthday Tripo9.
Hapo kwenye nyekundu, Asante Mr Rocky, ni siku njema kweli kwangu na wrinkles ol ova ma face. I say again, Asante sana
"Smile though your heart is aching"...Me says
Follow Us Here