nahitaji kuwasiliana na mods wa jf ila nimekua nikigonga kitufe cha CONTACT US napata majibu kwamba "Sorry. The email function has been disabled by the administrator" tafadhali ewe moderator naomba sana ukisoma uzi huu uni PM jinsi ya kuwasiliana na wewe nahitaji kufikisha malalamiko yangu kwako.
Asante sana

Reply With Quote

Follow Us Here