Nimeona wadada zaidi ya wanne hv wamevaa hzo chup* (tembelea beach)sasa najiuliza hyo mifuko ni mapambo tu au utaweza kuhifadhi kitu? Na ukitaka kutoa utatoaje mbele za watu? Nielewesheni jamani
Nimeona wadada zaidi ya wanne hv wamevaa hzo chup* (tembelea beach)sasa najiuliza hyo mifuko ni mapambo tu au utaweza kuhifadhi kitu? Na ukitaka kutoa utatoaje mbele za watu? Nielewesheni jamani
Kuna moja wifi yako alliacha ghetto hapa, if you wont mind uje uitazame.
Sawasawa anne maria?
Ni kwa ajili ya kuweka locker keys.kwenye beach nyingi au kwenye hotel zenye swiming pool kuna lockers za kuweka Nguo na vitu vyako unapoenda oga.so ukishafunga locker unakuwa na kajifunguo chako unakiweka katika chup¥
Ndo maana sometime ukipishana na sista duu pale kati pamejaa jaa nilikuwa nadhani ni upepo tu
Beach ulienda kwa shughuli yako binafsi au kuchunguza vyupi vya wadada? taratibu mpwa
Swaga za kishamba tu hizo wengi wao wanaweka ugoro na bange.au unakuta mdada kavaa BONGE la mchupi kama pensi
,,,hela za malipo baada ya shughuli
Uende kabisa na dawa ya penzi maana lolote laweza kutokea!!! anne maria
Follow Us Here