Hi!
Ni matumaini yangu wote ni wazima wa afya. Naombeni elimu kidogo namna ya ku-mention member kwenye post, mimi nashindwa lakini naona wenzangu mnaweza. Mnafanyaje??
Hi!
Ni matumaini yangu wote ni wazima wa afya. Naombeni elimu kidogo namna ya ku-mention member kwenye post, mimi nashindwa lakini naona wenzangu mnaweza. Mnafanyaje??
unaweka alama ya @ sambamba na jina la member....umeelewa sasa....?
Life is too short to waste time hating anyone.........
yaani unaanza kuweka @ ikifuatiwa na id ya mtu bila kuacha nafasi katikati ya @ na id ya mtu. mfano; kaeso
...kaisha elewa hadi hapo
@@
Umeelewa kaeso
Ameelewa Preta
Kipanya Leo
Reactions::
Knowledge is knowing that a tomato is a fruit; wisdom is knowing not to put it in a fruit salad.
Asante mpenzi Preta nimekuelewa nami ilikuwa inanipa shida.
karibu mpenzi Katavi......muda sijakuona.....
ulikwenda wapi....?
Life is too short to waste time hating anyone.........
mfano: dubu
ameshaelewa King2
Asante Preta. Hata mimi nilikuwa sielewi.
nikikupa mhogo wa kuchoma utafurahi? Preta
Knowledge is knowing that a tomato is a fruit; wisdom is knowing not to put it in a fruit salad.
Follow Us Here