Shemeji yangu klorokwini
Umekosekana kwa muda sasa hapa jamvini jamani am concerned!
KWa yoyote atakayemwona naomba anifikishie salamu zangu.
Aksanteni.
Shemeji yangu klorokwini
Umekosekana kwa muda sasa hapa jamvini jamani am concerned!
KWa yoyote atakayemwona naomba anifikishie salamu zangu.
Aksanteni.
ukimwona mwambie mie nina homa, nataka klorokwin.....
Kwa kweli felo tablet wa ODM na asali wake wanamsaka sana, ile hela ya Man of the Year tunaenda kuifumua Fyatanga leo.
Huyu atakuwa ameenda "Yaenda" kwenda kupambana na "Mtu Chake". Hi hi hi ...am just saying!.
Happiness Begins With Facing Life With A Smile And A Wink.
Yuko mahabusu
MwanajamiiOne
usijali, Mbu atasaidiwa na Nzi na MendeO.
Kanambia yupo partenity leave
Mwisho wa Ubaya Aibu.
Inawezekana mods wamechukua sera ya serikali kupiga ban vidonge vya klorokwin nao wakampiga ban shemeji yako mpendwa klorokwin..
Follow Us Here