Nimeona picha kwenye bango la Air Uganda karibu na taa zakwenda seaview road wanaojua ile ninani watwambie!
Nimeona picha kwenye bango la Air Uganda karibu na taa zakwenda seaview road wanaojua ile ninani watwambie!
sasa KakaKiiza ungesema wanaopita hiyo route maana sie wa mbagala posta sijui kama inatuhusu!
"Be an example.." 1 Timothy 4:12
Irere lya Isembo ni ndeu - Benki ya mjinga ni tumbo lake.
Mndu Kangikunda naware rero Lyako..John 14:23
NACHO CHA RUWA!
pm mtambuzi
ndo anga zake hizo.
SIYO WOTE WANAOTANGATANGA WAMEPOTEA
ungelifotoa ingekuwa bomba kweli ngoja nimstue El Toro akipige picha..
Siyo mpaka mpaka hapo popote kwenye bango la Air Uganda tazama kuna picha twambie nipicha gani inahusika!!Baby baby Preta sijakuacha sijuzi kipindi cha msiba wa Ze great tulikuwa wote au basi funguka uko wapi nitie timu nafarasi wangu mimi sina foleni sina gharama ya mfuta!!(Hapo kwenye Taa za Palm beach kama unakata kwenda seaview tazama upande wako wa kushoto utaona tu!)
Its only crazy who will be against to CDM!,only a fool who will fly CCM flag while is hungry!!
mie mgeni darisalama
kwanza sijaelewa swali kwa hapo mwisho...pili pasaka ya juzi ndo ya kwanza hapa dar...
Its only crazy who will be against to CDM!,only a fool who will fly CCM flag while is hungry!!
Follow Us Here