Leo bhana wakati tunaendelea na ibada yetu ya pasaka kanisani ukaimbwa wimbo maarufu sana ambao ukiimbwa kipindi kama hiki pamoja mi dhambi yangu yote huwa najihisi kama napaa vile.......Kwa kiswahili huwa wanauita Haleluya Kuu

A hen is only an egg's way of making another egg
Kwahiyo?
Ulivyopaa mkuu dhambi huna tena? Heri ya PASAKA, Amefufuka kweli kweli Haleluyaa.
Karibu glasi ya wine 2burudike
Hivi ALELUYA maana yake nini?
haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa aalleeeeeeeeeeeeeeeeluuuuuuuuu uuuuuuuuuuuuuuuuuuuuyaaaaaaaaa aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa aaaaaaaaaaaaaaaa
jaman hv uwo wmbo cwez ku-download nautafta balaa anaejua msaada plz, mana ukimbwa naona kama npo heaven tena ukute choir imejfua vya kutosha dah..!
na mimi "nilishapaa" leo asubui!nadhani ule wimbo unaimbwa pia mbinguni!wasiojua hawatatuelewa!
Mwal. wetu wa kwaya anaona uvivu kuufundisha.
Like, like, hakika amefufuka, hata mi nilishiriki mkesha st Joseph nilihisi presence ya Utukufu
Wacha bana huo wimbo ulitungwa kwa takriban mwaka mmoja huko Rome Italy na uliimbwa na watu wapatao 6000 kwa pamoja.(
Doo'so'la'so'
Follow Us Here