Hello,
Fanya hesabu ifuatayo, angalia kwenye records zako za JF halafu kokotoa kama hapa chini;
Likes Given-Likes Received = " How unselfish you are"
Kama unapata Negative ujue wewe hali tete!
Hello,
Fanya hesabu ifuatayo, angalia kwenye records zako za JF halafu kokotoa kama hapa chini;
Likes Given-Likes Received = " How unselfish you are"
Kama unapata Negative ujue wewe hali tete!
Sasa wewe utatoa like tu hata kama jambo halijakufurahisha?
Advertise your products, business & services with us 100% free |www.globaladverts.biz
Wengine tunatumia mchina bwana, hakunaga kitufe cha like.
Duh!!
Uongo.
nakataaaaaaa
mfano natumia simu hapa hakuna kitufe cha like wala like sizioni......
Hiyo formula haifaaaaaiii mweh!!!!!!
sawa kabisa, nakubaliana na mtoa mada. lol
Creativity is the sudden cessation of stupidity.
Edwin H. Land
Sasa kwa wale ambao wanatumia simu au other mobile devices ambazo hazina kitufe cha like wafanyaje? Uoni hapo kuna uonevu?
Muda mwingi natumia simu, like natoa ninapokuwa kwenye pc....
Mbona mie mchina wangu anatoa LIKEs tu hana neno? Tena ana line 4! Nimeamua kubania tu.
Acheni kusingizia vinokia torch,once in a while nendeni internet cafe mkarushe ma likes,kha!
Tatizo wengine wanatumia mobile, inakuwa ngumu kumpa mtu 'like' yake, ingekuwa sio hivyo mbona ningempa kila mtu 'like' anayostahili.
Follow Us Here