Hello,
Fanya hesabu ifuatayo, angalia kwenye records zako za JF halafu kokotoa kama hapa chini;
Likes Given-Likes Received = " How unselfish you are"
Kama unapata Negative ujue wewe hali tete!
Hello,
Fanya hesabu ifuatayo, angalia kwenye records zako za JF halafu kokotoa kama hapa chini;
Likes Given-Likes Received = " How unselfish you are"
Kama unapata Negative ujue wewe hali tete!
Watu wengi wamesingizia matumizi ya simu.
Basi tunaiweka hiyo kama exception , all things being equal tufanye wote mpo kwenye computer kanuni ya hapo juu ita apply. Nazungumza na wadau wawasaidie na nyie mnaotumia simu za G-TIDE muweze kutoa Likes.
Wabeja sana
Halafu nyie mnaotumia visimu mnasumbua kweli. Hasa x mamkwe wangu king'asti.
Creativity is the sudden cessation of stupidity.
Edwin H. Land
Kwani lazima?
Follow Us Here