nakumbukaaa kipindi hichoo niko skull mojaaa ya boarding ikoo mwagaa juu[usangi}wanaiita shigapound[shinga tiriiiiiii],kulikuwaa kunabaridi sanaa asee...kimbembee ni kuogaa sasaaa,wazee tulikuwa tunapigaa paspotii sizee,unaoshaa kwapaaa,unajifutaa na sponjiii mwilini,unanawaa uso na kichwaa kwa sabuni,then ndo ntoleee siku mbili hiyo mzee..dah!!kwa walee waliosomaa bording skull wanakumbukaaa hii...NIPEE NA WEWE KITUKO CHA SKUL KWAKO
Dah!! Enzi zile nasoma Kibosho katika shule flani ambayo ipo karibu na umbwe tumepiga sana hii kitu mkuu ila mimi sijawahi kupiga pass maana mimi nilikuwa naoenda sana maji. hata kama kuwe na baridi kiasi gani ilikuwa ni lazima nioge vinginevy sitoki bwenini.
Samahani naomba kujuzwa kama shule yenu ilipata kusikika matukio yanayohusiana na "mahusiano ya kishoga"...
Boding skuli ndio mambo yote,mie nimeenda fom 1 hata cjielewi nipo nipo tu mpaka mama anaondoka nalia km nimefiwa but mpaka narudi likizo nishakomaa najua bajeti ya pesa hata nikiugua nagangamala sio kulia lia!nikaweza kufa mpaka blanket yan maisha yale ndio yalijengea ujasiri na kujifunza maisha halis ya kidunia!

You've "summed it up!"
Ulisoma wapi boarding if you dont mind?
"One of the penalties for refusing to participate in politics is that you end up being governed by your inferiors"-Plato
Nimesoma Narumu sec. shule ya masista iko moshi,jiran na lyamungo secondary!ilikua haina midterm ukingia mle januari ni mpaka may,ukingia july ni mpaka nov,ukifika getin unapekuliwa hata sukari huingii nayo,mavazi ni mwendo wa shamba drec lol!

Dah.....kweli ni ujasiri! Mie sijui ningeishi siku ngapi kabla hawajanirudisha kwetu!!
Nimesoma Narumu sec. shule ya masista iko moshi,jiran na lyamungo secondary!ilikua haina midterm ukingia mle januari ni mpaka may,ukingia july ni mpaka nov,ukifika getin unapekuliwa hata sukari huingii nayo,mavazi ni mwendo wa shamba drec lol!
hahahhaa, umenikumbusha shamba dress, jamani mie nilienda boarding weruweru moshi kwa wale wanaoijua shule ya weruweru ni wazee wa kilimo kwanza siku ya kwanza nafika shule ijumaa jumamosi tukapelekwa shamba unapewa mstari wa kupalilia mahindi ukifika kati ujui umeanzia wapi na unaishia wapi.
nililia jamani mpaka basi unaenda shamba asubuh mpaka usiku nkaandika bonge la barua kwa baba kwa peni nyekundu kumweleza kwamba shule siiwezi kuna mateso sana kulima, kufyeka na kuchimba mitaro, kuzibua vyoo.
uku nje watu wakituona ni masista duu ila kazi tulizopitia ni balaa, sitaisahau weruweru.
hahah shaurii ya kulimaa sister duh!!mkono kamaa anapasua mawee..boarding hakunaa usister du<demu anafuliaa mpaka anakunywaa ujii wa chumvii hana sabaunii anagongeaa hata mandazii
By sister

big up...yanii ulikuwaa ukirudiii home,siku za kwanzaa kwanzaaa unapiganjee menyuuuu.
By Cantalisia
Boding skuli ndio mambo yote,mie nimeenda fom 1 hata cjielewi nipo nipo tu mpaka mama anaondoka nalia km nimefiwa but mpaka narudi likizo nishakomaa najua bajeti ya pesa hata nikiugua nagangamala sio kulia lia!nikaweza kufa mpaka blanket yan maisha yale ndio yalijengea ujasiri na kujifunza maisha halis ya kidunia!
hahah shaurii ya kulimaa sister duh!!mkono kamaa anapasua mawee..boarding hakunaa usister du<demu anafuliaa mpaka anakunywaa ujii wa chumvii hana sabaunii anagongeaa hata mandazii
kweli kabisa boarding akuna usister du, msosi ambao nilikuwa nakula uwezi amini kama ni msichana anapiga huo msoc.
Follow Us Here