naona vipindi siku hizi ni kuigana mwanzo mwisho...hakuja ubunifu kiukweli...hawa clouds nao wameanzisha comedy show...zilizokuwepo station zingine ni mbovu,sasa tuone na hiki kipya!..
Evans Bukuku is something else jamaa is so funny ukienda kwenye show ndio utaona to the fullest.
Naona baadhi hawae
lewi concept ya stand up comedy
Kweli tunatofautiana,katika watu wasiojua kuchekesha ni Evans Bukuku...iwe stand up or other wise ..sijui kwa nini hata aliingia kwenye comedy,anastruggle kumchekesha mtu,mi mara elfu joti nitacheka au Mizengwe itv.

tehe, hata mie nlishangaa, kichekesho cha mtu kuoga ofcn, kwanza inashangaza mie nlijua ni mahojiano labda ya waigizaji, lol kumbe vichekesho! Ndo nachekea hapa saa huu
Knowledge is knowing that a tomato is a fruit, but Wisdom is knowing not to put it in a fruit salad
tehe, hata mie nlishangaa, kichekesho cha mtu kuoga ofcn, kwanza inashangaza mie nlijua ni mahojiano labda ya waigizaji, lol kumbe vichekesho! Ndo nachekea hapa saa huu
nakwambia bora humu JF nachekaga(sorry kisukuma icho...nipo SHY) KULIKO HAO WANAOJIITA COMEDY!
Follow Us Here