JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: 2.3.1990 kidume ndo nimekuja duniani

  Report Post
  Page 4 of 4 FirstFirst ... 234
  Results 61 to 67 of 67
  1. dazipozi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 6th November 2011
   Location : Dar.Tanzania
   Posts : 1,143
   Rep Power : 802
   Likes Received
   102
   Likes Given
   59

   Default 2.3.1990 kidume ndo nimekuja duniani

   Ebwana mambo vp?dah!kama dizaini kitambo sijazama pande hizi.Autuseme sija post ***** humu Chitchat,ebwana leo ndo kijana mwenzenu,au mtoto wenu au mjukuu wenu au ata mtoto wenu piya,ndo nazariwa tarehe kama ya leo mwezi kam wa leo ila mwaka tofauti nimezaliwa miaka ya tisini tu hapo bado,Japo Mtoto wa mwenzio mkubwa mwenzio maana kuna mijitu humu aikawii kumbe mtoto sawa mtoto ila ningewai kuliona juwa kabla yako ningekuzaa,ok 2achanaye na hayo amkawii kusema na maneno mengi kama nimebemendwa,cha msingi thany kwa wadada wote walio ni Pm pamoja sana na wapenda sana,japo sijaona ata Pm moja ya kiume ila powa 2tazidi kufahamiana na kujuzana,Ansante


  2. Kaizer's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 16th September 2008
   Posts : 22,603
   Rep Power : 343094551
   Likes Received
   14282
   Likes Given
   19651

   Default Re: 2.3.1990 kidume ndo nimekuja duniani

   Quote By Kabakabana View Post
   nimeanza nini?ushakula keki?ngoja nikuletee mishumaa halafu useme a wish.
   Kabakabana mambo?
   "Bunduki bila risasi yaua namna gani"

  3. Narubongo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd November 2010
   Posts : 1,891
   Rep Power : 909
   Likes Received
   915
   Likes Given
   690

   Default Re: 2.3.1990 kidume ndo nimekuja duniani

   heri ya kuzaliwa mwanangu
   "Chadema kinatumia alama ya vidole viwili kama manati, manati kamwe haiwezi kuua tembo" Livingstone Lusinde (2012)

  4. Erickb52's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 1st November 2010
   Location : Ngarenaro
   Posts : 18,350
   Rep Power : 78668994
   Likes Received
   11146
   Likes Given
   17197

   Default

   Quote By Judgement View Post
   Ona sasa! Si tunahangaika kukutumia ma'congra , we umetuachia Thrade umekimbilia kurusha Tiara!
   Haya rudi jamvini eeh, usilie ntakununulia pipifilimbi.
   Happy new year
   no no !
   Happy birthday.
   Dogo nilimpa sh 100 kakimbia kununua bagia

  5. Manyanza's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 4th November 2010
   Location : Look Behind You......
   Posts : 4,446
   Rep Power : 25572
   Likes Received
   1197
   Likes Given
   933

   Default Re: 2.3.1990 kidume ndo nimekuja duniani

   dogo njoo hapa CCM Bar, unywe japo Fanta... Mpigie simu Ramso wa Coconut akuleta kwenye meza tuliokaa

  6. nitonye's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 18th December 2011
   Posts : 5,890
   Rep Power : 94774
   Likes Received
   2334
   Likes Given
   222

   Default Re: 2.3.1990 kidume ndo nimekuja duniani

   Hongera dogo langu naona sasa hivi hunukii tena maziwa ya mama


  7. BADILI TABIA's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 13th June 2011
   Location : DUNIANI
   Posts : 21,915
   Rep Power : 171830406
   Likes Received
   10137
   Likes Given
   8493

   Default Re: 2.3.1990 kidume ndo nimekuja duniani

   hongera kijana......

   Umepishana kidogo na kijana wangu, yeye 3/4/1990

  8. Kabakabana's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 5th August 2011
   Posts : 5,555
   Rep Power : 1871
   Likes Received
   1142
   Likes Given
   126

   Default

   Quote By Kaizer View Post
   Kabakabana mambo?
   safi sweet kaizer,upoo?


  Page 4 of 4 FirstFirst ... 234

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...