JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Ujue una laana kama.......................... ........

  Report Post
  Page 8 of 8 FirstFirst ... 678
  Results 141 to 157 of 157
  1. Viol's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 15th December 2009
   Posts : 18,060
   Rep Power : 429500635
   Likes Received
   4603
   Likes Given
   4425

   Post Ujue una laana kama.......................... ........

   1.Umefanya kazi kwenye kampuni miaka saba na hujapandishwa cheo.

   2.Unafeli hesabu,english na kiswahili pamoja.

   3.Ukiwa polisi halafu unaonea raia.

   4.Kama gari lako mwuda mwingi lipo garage kuliko kuwa barabarani.

   5.Ukiwa mshabiki wa Arsenal.

   6.Mara ya kwanza kutoka nje ya ndoa ndo mara ya kwanza kufumaniwa

   7.Umetumia photoshop halafu bado unaambiwa hupendezi.

   8.Ukikuta document zako panya kala sehemu iliyoandikwa jina.

   9............................. .

   10......................

   11..............

   endelea
   addicted to fake london girl.


  2. Viol's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 15th December 2009
   Posts : 18,060
   Rep Power : 429500635
   Likes Received
   4603
   Likes Given
   4425

   Default Re: Ujue una laana kama.......................... ........

   Quote By Kadakabikile View Post
   Kama kila siku ya Ibada unaenda kanisani lakini bado haubadiliki. Ukitoka nje tu yote yaliyohubiriwa unayaacha mlangoni. Bora ubaki home tu.
   Ni laana pia kwenda kanisani siku za matukio tu
   addicted to fake london girl.

  3. Erickb52's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 31st October 2010
   Location : Ngarenaro
   Posts : 18,389
   Rep Power : 78669019
   Likes Received
   11180
   Likes Given
   17253

   Default Re: Ujue una laana kama.......................... ........

   Quote By Excellent View Post
   heri hata hawakati tamaa,laana ndo kukata tamaa
   Hahahaaaaa ila wanatesekaga sana aisee
   Kujipenda ni Pamoja na Kuutunza Mwili wako!
   Acha Ngono,UKIMWI unaua!

  4. Kaizer's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 16th September 2008
   Posts : 23,009
   Rep Power : 343094649
   Likes Received
   14659
   Likes Given
   20346

   Default Re: Ujue una laana kama.......................... ........

   Umetongoza zaidi ya mwezi hakijaeleweka...kama sio laana ni nini? inabidi kwenda Kaole fasta
   "Samaki haliwi kwa kijiko"

  5. Amyner's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 13th July 2011
   Location : Somewhere..
   Posts : 2,329
   Rep Power : 7516
   Likes Received
   775
   Likes Given
   53

   Default

   Quote By nelly nely View Post
   au unaamka asubuh unajikuta umekufa!
   mh hapa kuna utata.. Unaamka asubuhi.. Halafu unajikuta umekufa..?! Nelly mmmh..

  6. nelly nely's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 12th February 2012
   Location : BUZEBAZEBA/KONGWA
   Posts : 670
   Rep Power : 12340
   Likes Received
   185
   Likes Given
   53

   Default Re: Ujue una laana kama.......................... ........

   Quote By Amyner View Post
   mh hapa kuna utata.. Unaamka asubuhi.. Halafu unajikuta umekufa..?! Nelly mmmh..
   Amyner,mmmmh!!


  7. Erickb52's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 31st October 2010
   Location : Ngarenaro
   Posts : 18,389
   Rep Power : 78669019
   Likes Received
   11180
   Likes Given
   17253

   Default

   Quote By Amyner View Post
   mh hapa kuna utata.. Unaamka asubuhi.. Halafu unajikuta umekufa..?! Nelly mmmh..
   Labda unaamkia kuzimu...teh Nelly acha wewe

  8. Dr. Wansegamila's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd February 2012
   Location : Kwetu pazuri
   Posts : 754
   Rep Power : 42952001
   Likes Received
   431
   Likes Given
   264

   Default Re: Ujue una laana kama.......................... ........

   Mkeo akiwa analiwa na excellent

  9. Amyner's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 13th July 2011
   Location : Somewhere..
   Posts : 2,329
   Rep Power : 7516
   Likes Received
   775
   Likes Given
   53

   Default

   Quote By Dr. Wansegamila View Post
   Mkeo akiwa analiwa na excellent
   ngoja aje mwenyewe..

  10. Samboko's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 30th October 2011
   Posts : 596
   Rep Power : 616
   Likes Received
   140
   Likes Given
   549

   Default Re: Ujue una laana kama.......................... ........

   Aliyekutoa bikra yako bila kukuoa wakati umeitunza hadi ukubwani.

  11. Kongosho's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 21st March 2011
   Location : Location loading...
   Posts : 36,164
   Rep Power : 138795834
   Likes Received
   23305
   Likes Given
   23309

   Default

   dah. . . . . .

   Quote By Samboko View Post
   Aliyekutoa bikra yako bila kukuoa wakati umeitunza hadi ukubwani.

  12. TaiJike's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 14th December 2011
   Posts : 1,300
   Rep Power : 750
   Likes Received
   452
   Likes Given
   411

   Default Re: Ujue una laana kama.......................... ........

   Quote By Excellent View Post
   ni laana pia usiponilisha vizuri mana hizo kazi si mchezo
   Ni laana usipoacha bajeti ya kutosha mlo kamili kwa mwezi mzima.
   * Nitashangaa kama hawa Watanzania watakataa kuasi. Kwanini wasiasi? * - Julius Kambarage Nyerere


  13. TaiJike's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 14th December 2011
   Posts : 1,300
   Rep Power : 750
   Likes Received
   452
   Likes Given
   411

   Default Re: Ujue una laana kama.......................... ........

   Quote By Excellent View Post
   ile siyo laana mana ni bahati mbaya tu
   Ni laana kuchukulia kila kitu bahati mbaya, wakati wanawake wa kuwowa kibao.
   * Nitashangaa kama hawa Watanzania watakataa kuasi. Kwanini wasiasi? * - Julius Kambarage Nyerere


  14. Erickb52's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 31st October 2010
   Location : Ngarenaro
   Posts : 18,389
   Rep Power : 78669019
   Likes Received
   11180
   Likes Given
   17253

   Default

   Quote By Samboko View Post
   Aliyekutoa bikra yako bila kukuoa wakati umeitunza hadi ukubwani.
   Duh hii ni laana...ila km alikubali ni makosa yake....

  15. SI unit's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 24th February 2012
   Posts : 1,919
   Rep Power : 1798
   Likes Received
   672
   Likes Given
   345

   Default

   Quote By TaiJike View Post
   Ni laana kuchukulia kila kitu bahati mbaya, wakati wanawake wa kuwowa kibao.
   Ni laana kupiga nyeto wakati madem wanalilia hizo mb** ziwasugue

  16. bht's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 14th May 2009
   Posts : 10,105
   Rep Power : 2646
   Likes Received
   1550
   Likes Given
   1131

   Default

   Quote By Husninyo View Post
   hehehehe! Za kupotea? Dah, sio matende bana, Uumbaji tu. Lol
   Hehee swahiba mmegee sweetlady basi ajazie jazie na yeye...

  17. nelly nely's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 12th February 2012
   Location : BUZEBAZEBA/KONGWA
   Posts : 670
   Rep Power : 12340
   Likes Received
   185
   Likes Given
   53

   Default

   Quote By SI unit View Post
   Ni laana kupiga nyeto wakati madem wanalilia hizo mb** ziwasugue
   ni laana msichana kumkataa mvulana

  18. ENZO's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 30th September 2010
   Location : Sinza/Dar es salaam
   Posts : 3,280
   Rep Power : 74107386
   Likes Received
   618
   Likes Given
   166

   Default

   Quote By si unit View Post
   ni laana kupiga nyeto wakati madem wanalilia hizo mb** ziwasugue
   ** --> oo
   MP.


  Page 8 of 8 FirstFirst ... 678

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...