1.Umefanya kazi kwenye kampuni miaka saba na hujapandishwa cheo.
2.Unafeli hesabu,english na kiswahili pamoja.
3.Ukiwa polisi halafu unaonea raia.
4.Kama gari lako mwuda mwingi lipo garage kuliko kuwa barabarani.
5.Ukiwa mshabiki wa Arsenal.
6.Mara ya kwanza kutoka nje ya ndoa ndo mara ya kwanza kufumaniwa
7.Umetumia photoshop halafu bado unaambiwa hupendezi.
8.Ukikuta document zako panya kala sehemu iliyoandikwa jina.
9............................. .
10......................
11..............
endelea

Reply With Quote



Follow Us Here