Ni tabasamu na vicheko mlivyokuanavyo ndani ya gari
Nilichanganyikiwa midomo ilianza kunicheza
Mithili ya mtu aliyemeza kipande cha moto Mama watoto
je huyu bibi leo angejiteteaje?????
1) Usiwe na wasiwasi malav, yule alikuwa my business partner
2) Darling naye kwa wivu!! kwani wewe humjuwi yule? yule si musa mfanyakazi mwenzangu pale ofisini.....
IT IS BY GROWING OLD THAT EVERYONE LEARN TO REMAIN YOUNG
1) Usiwe na wasiwasi malav, yule alikuwa my business partner
2) Darling naye kwa wivu!! kwani wewe humjuwi yule? yule si musa mfanyakazi mwenzangu pale ofisini.....
Sasa ukimpa lifti kijana aliekusaidia kusukuma gari ndo usicheke nae? Huyo mwanaume azidishe kucheka na kutia stori na mkewe wakiwa kwenye gari. Kama wewe ukiwa garini na mkeo unanunaaa kwa vile unamuona kama afande kova (sadly kuna mijitu inajisifia, eti tutaongea nini sasa!!), wenzio they still find a humour in her jokes,lol

the issue bibie gari lake leo ni auto si manual king'asti
Follow Us Here