Wanajf ninawasalim 'habari zenu' kwa kuwa hili ni jukwaa la watu wenye ufahamu naomba ndugu yangu aweze kusaidia kwan atakuwa anafuatilia majib, ni hivi huyu ndugu siku hizi amejiunga mtandao mmoja wa kijamii unaomwezesha kuchat na marafiki wengi uko magharibi lakin tatizo kuna alama ambazo marafiki huzitumia yeye hazielewi ni kama hizi :-( ;) :-) ;> (anatumia simu) naomba kuwasilisha!

:-( ;) :-) ;>
(anatumia simu) naomba kuwasilisha!
Reply With Quote





Follow Us Here