Yaani maumbile yetu kwa wengine ni kero, yaani sijui tumewakosea nini?
Sasa leo nataka kujua sababu ya sisi wafupi kusemwa vibaya na kudharauliwa.
Yaani maumbile yetu kwa wengine ni kero, yaani sijui tumewakosea nini?
Sasa leo nataka kujua sababu ya sisi wafupi kusemwa vibaya na kudharauliwa.
Wanachukiwa na nani? au hata wafupi kwa wafupi wanchukiana?
Mitalimbo yenu nayo huwa mifupi. Sasa hapo lazima mtu kama Faizafoxy akudharau tu
Fikra zenu pia fupi ndo mana wengi wenu wafupi
Ukimdharau maskini unamdharau muumba wako. Ukimdharau binadamu mfupi pia unamdharau muumba wako.
Watu wafupi wananamna ya kuufaidi ufupi wao.
Wanaishi maisha marefu na hata uzee wao si wa mateso kama wa watu warefu.
1. wafupi UKIONDOA HAWA WA JF wana matatizo, tatizo kubwa ni kujiona wanadharauliwa kutokana na vimo vyao.
2. Pia hawa jamaa huwa hawajiamini sana tofauti na sisi warefu.
3. Mfupi yeyote akishahisi unamdharau sababu ya kimo lazima ataanzisha VAGI.
always use low profile........ajikwezae atashushwa.
Mmenikumbusha enzi za empire bakuba ya pepe kale na Vi omolo vyake we walikuwa wanapiga show acha
WanaJF,
Kwanza hakuna mfupi wala mtu mrefu. mimi kama nina urefu wa 170 iches na mwingine 171inches basi hapo tuna mrefu na mfupi.
maana yangu ni kwamba ili tuseme nani mrefu na nani mfupi lazima wawepo watu wa kuwalinganisha. hivyo unaweza kuwa mfupi hapa
ukawa mrefu kwa mtu mwingine. hivyo sisi wote ni wafupi na ni warefu. Je hii dhana ya urefu na ufupi tunaipata wapi?????
Na ni kipimo gani tunatumia (if any) cha kulinganisha wafupi na warefu?????? Je mchina Mkorea na wanawekwa kundi gani?
Psychologically baadhi ya watu wafupi kwenye mahusiano ya kijamii wanakuwa extroverts na pengine wenye hasira sana na wababe. Kutokana na ufupi wao, wanafanya kila hali waonekane. Hata kuzungumza yao inakuwa ya sauti kubwa, wajulikane na wasikike kuwa na wao wapo. Katika kujidhirisha kwao, hupitiliza mpaka wanakuwa kero.
Let your graceful words fly out into the World, carried on winds of courage, imagination and joy. Let them inspire others to step into action
Follow Us Here