JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Ndio maana watoto ni wengi mitaani...!

  Report Post
  Results 1 to 10 of 10
  1. Maalim Jumar's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 28th December 2010
   Location : DAR-ES-SALAAM.
   Posts : 1,312
   Rep Power : 820
   Likes Received
   69
   Likes Given
   2

   Default Ndio maana watoto ni wengi mitaani...!

   Hi JF!.
   Nimelichunguza mda mrefu...hatimae nimegundua hili: kwa kua njia ya upatikanaji ni rahisi ya watoto ndio maana wamejaa mitaani.

   -unae mke nyumbani lakini unae mwingine mtaa mwingine achilia mbali unaefanya kazi nae.
   -mkeo akiwa mja mzito haupo karibu nae ...kumbe unae anaekupunguzia uzito.
   -ukiwa unamiliki usafir utaekua ukimpa lift kusogeza kazin huyo nae atakusaidia kupunguza uzito...siku ya siku atakupatia zawadi ya kabebii.
   -......................
   -......................

   Endeleza na wewe:
   Tuchangie mtaona ndio sababu ya hawa damu zetu tunazozikana huku zinataabika mitaani.
   Nawasilisha!.


  2. feis buku's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 29th August 2011
   Posts : 2,372
   Rep Power : 997
   Likes Received
   661
   Likes Given
   574

   Default Re: Ndio maana watoto ni wengi mitaani...!

   Damu zako na si zetu!

  3. ndyoko's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 2nd November 2010
   Posts : 4,684
   Rep Power : 1872
   Likes Received
   1310
   Likes Given
   1977

   Default Re: Ndio maana watoto ni wengi mitaani...!

   Hebu geukia na upande wa kina dada pia!

  4. Ulimakafu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 18th March 2011
   Location : Itabanya Balasi
   Posts : 15,254
   Rep Power : 6808
   Likes Received
   1053
   Likes Given
   2367

   Default Re: Ndio maana watoto ni wengi mitaani...!

   Kuna mengi zaidi ya hapo.

  5. Maalim Jumar's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 28th December 2010
   Location : DAR-ES-SALAAM.
   Posts : 1,312
   Rep Power : 820
   Likes Received
   69
   Likes Given
   2

   Default Re: Ndio maana watoto ni wengi mitaani...!

   .....jamani!
   Mimi nimeanzia hapo na nyie mwaweza elezea hapa ili tuone hizo damu mitaan ......
   Sababu zake ni wepesi waupatikanaji wa hao watoto tu!.


  6. Maalim Jumar's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 28th December 2010
   Location : DAR-ES-SALAAM.
   Posts : 1,312
   Rep Power : 820
   Likes Received
   69
   Likes Given
   2

   Default

   Basi damu zao!
   Quote By feis buku View Post
   Damu zako na si zetu!

  7. Maalim Jumar's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 28th December 2010
   Location : DAR-ES-SALAAM.
   Posts : 1,312
   Rep Power : 820
   Likes Received
   69
   Likes Given
   2

   Default

   Quote By ndyoko View Post
   Hebu geukia na upande wa kina dada pia!
   Mimi nimeanzie na hawa baba za hawa vijana ....!
   Nawe weka upande wa hao dada.

  8. Maalim Jumar's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 28th December 2010
   Location : DAR-ES-SALAAM.
   Posts : 1,312
   Rep Power : 820
   Likes Received
   69
   Likes Given
   2

   Default

   Quote By Ulimakafu View Post
   Kuna mengi zaidi ya hapo.
   Weka hapa!.
   Usifiche haya mambo ni hatari kwa kweli.

  9. feis buku's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 29th August 2011
   Posts : 2,372
   Rep Power : 997
   Likes Received
   661
   Likes Given
   574

   Default Re: Ndio maana watoto ni wengi mitaani...!

   Quote By Maalim Jumar View Post
   Basi damu zao!
   no! basi damu za maalim juma!!

  10. Maalim Jumar's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 28th December 2010
   Location : DAR-ES-SALAAM.
   Posts : 1,312
   Rep Power : 820
   Likes Received
   69
   Likes Given
   2

   Default

   Quote By feis buku View Post
   no! basi damu za maalim juma!!
   Nmeogopa kukugongea kitufe cha Thanks!
   Nmecheka kweli hapo.
   Ha ha ha ha ha !.


  Similar Topics

  1. Watoto wa mitaani
   By Bitabo in forum Habari na Hoja mchanganyiko
   Replies: 1
   Last Post: 9th December 2011, 23:12
  2. Mbuzi ni mbuzi hawezi kuwa Simba ndio maana wengi wameshindwa
   By Vaislay in forum Mahusiano, mapenzi, urafiki
   Replies: 32
   Last Post: 26th August 2011, 09:28
  3. Wanawake wapo wengi kuliko wanaume ndio maana
   By Adam waTZ in forum Mahusiano, mapenzi, urafiki
   Replies: 8
   Last Post: 19th July 2011, 14:10
  4. Wanawake wapo wengi kuliko wanaume ndio maana....
   By Adam waTZ in forum Mahusiano, mapenzi, urafiki
   Replies: 2
   Last Post: 18th July 2011, 16:34
  5. watoto wa mitaani
   By matambo in forum Jokes/Utani + Udaku/Gossips
   Replies: 5
   Last Post: 28th August 2009, 17:52

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...