Nimechukungulia forums ya malaria sugu imekuwa ikiandama sana Chadema, wale user waliokuwa wakilalamika sana hapa jf naona wamepotelea huko.
Nawatakia masiha mema ktk forums yao.
wapotee huko huko hawana mchango wowote kwa taifa
Nimechukungulia forums ya malaria sugu imekuwa ikiandama sana Chadema, wale user waliokuwa wakilalamika sana hapa jf naona wamepotelea huko.
Nawatakia masiha mema ktk forums yao.
wapotee huko huko hawana mchango wowote kwa taifa
For the first time kuona Njiwa katajwa in the same group na wahusika ulotaja.... Dah!
"Emancipate yourselves from Mental Slavery,
NON but Ourselves can Free our Minds"
- Bob Marley (Redemption Song)
wameenda kuiba kura kwenye uchaguzi mdogo IGUNGA mkuu uchaguzi ukiisha tu utawasikia humu kwa mbwembwe
Lakini jamani hamuoni kuwa everybody is entitled to his/her opinions?
Haya si ndo mambo ya freedom of expression/free speech?
He who knows, and knows that he knows, is a wise man, emulate him.
He who knows not, and knows not that he knows not, is a fool, shun him.
Itapunguza watu kupigwa BAN humu
kama huyo malaria sugu ndo apotee kabisa hapa jf,mana kazi yake nini kuchafua hali ya hewa hapa jamvini... afie hukohuko kwenye forums yake ya magamba kudadadeki.
Napingana na wewe ............... Unajuwa challenges ndo zinakufanya ukuwe kimawazo, kifikra, kielimu, kimaisha ya kawaida, na vile vile ili ujuwe uwepo wa mnene basi mwembamba lazima awepo vinginevyo utakosa mahala pa kulinganishia................. . WAACHENI WAFU WAWEPO ILI TUJUWE THAMANI YA UZIMA
Effectiveness is measured by what happened because of what you did
Wamefunga!ngoja wafungue mtawaona!watakuja na kasi,ari,na nguvu mpya za magamba!mtakavyopigwa ban humu mpaka mtasahauliana!
"The only thing that walks back from the tomb with the mourners and refuses to be buried is the character of a man.
What a man is, survives him... it can never be buried"
(GENEKAI-Jamiiforums, 4th November 2010 07:32PM).
[email protected]
Forum ya Maralia sugu inaitwaje niingie humo kuwaelimisha?
Mnang'oa meno ya Tembo ili mukayauze, mnang'oa meno na Kucha za Watanzania wasio na hatia ili iweje?
nazidi kuamini kuwa hakuna siasa Tanzania
Hivi bila Faiza Fox kuichallenge cdm, mtapataje kuwa wabunifu? Au mnataka watanzania wote wawe wanachadema?
Adui yako mwombee njaa sio kifo, lol, ----!
Hivi sheria ya JF inasemaje kuhusu kutajana majina kwenye thread. Mimi naona huyu bwana mnampa umaarufu wa Bure.
Na pia hiyo Forum tajwa Mnaipa umaarifu wa Bure.
Hivi ile forum inaweza kulinganishwa na JF?
Mbona kuna forum nyingi tu, zenye watu wenye akili timamu lakini hamzi zungumzii.
Ningekua Mod ningefuta kila Thread inayo anzishwa ikiongelea the Childish Forum.
Its not even worthy being mentioned here!!
Knowledge is knowing that a tomato is a fruit; wisdom is knowing not to put it in a fruit salad.
Wapi yule member "against chadema"au nape hajamlipa
ms, ff wanapatikana kwenye kamtandao kanaitwa Jamii yetu Forums huko utamkuta na nnape
duhu,kwaher
Huu mchezo wa kuigeuza JF kuwa ndio sehemu ya kufanyia promo za hizo forum uchwara hakikubaliki, mimi binafsi hata huyo Bloger wao Michuzi sifungui blogu yake sembuse huu uchafu mwingine?
Division four point 29 = Masters Mzumbe University. Nape Nnauye is my role model.
Follow Us Here