JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Nasumbuliwa na Shahidi wa Yehova

  Report Post
  Page 1 of 2 12 LastLast
  Results 1 to 20 of 35
  1. Bujibuji's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 4th February 2009
   Location : NYUMBANI PANONO
   Posts : 23,629
   Rep Power : 51528094
   Likes Received
   12920
   Likes Given
   10024

   Default Nasumbuliwa na Shahidi wa Yehova

   Huyu jamaa alikuwa akinipigia simu kila siku usiku na kutaka nihamie kanisani kwao. Nimemkataza kunipigia, kwa kweli ameacha, lakini namba yangu nahisi kaigawa kanisa zima, maana napigiwa simu hadi na watoto wakinitaka nihamie huko kanisani kwao.
   Kwasiku napokea simu zisizo na idadi.

  2. SHERRIF ARPAIO's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 25th August 2010
   Location : Mbudya Island
   Posts : 4,646
   Rep Power : 1971793
   Likes Received
   1811
   Likes Given
   1269

   Default Re: Nasumbuliwa na Shahidi wa Yehova

   Nenda kawasikilize then utaamua. Uzuri ni kwamba ukiwaambia huna usafiri wa kuja church watakupatia ride/lift kwenda na kurudi ama hata kukukodishia taxi, na msosi huko ni free
   He who knows, and knows that he knows, is a wise man, emulate him.
   He who knows not, and knows not that he knows not, is a fool, shun him.

  3. Malila's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 22nd December 2007
   Location : Makete mjini
   Posts : 3,993
   Rep Power : 35923095
   Likes Received
   2158
   Likes Given
   944

   Default Re: Nasumbuliwa na Shahidi wa Yehova

   Huo ni ujumbe wa Mungu sio usumbufu, itafika siku utatamani upate ujumbe huo. Nenda kawasikilize,kisha waambie msimamo wako basi.
   Mtu mwema huacha urithi kwa wana wa wanawe.

  4. Bujibuji's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 4th February 2009
   Location : NYUMBANI PANONO
   Posts : 23,629
   Rep Power : 51528094
   Likes Received
   12920
   Likes Given
   10024

   Default

   Quote By SHERRIF ARPAIO View Post
   Nenda kawasikilize then utaamua. Uzuri ni kwamba ukiwaambia huna usafiri wa kuja church watakupatia ride/lift kwenda na kurudi ama hata kukukodishia taxi, na msosi huko ni free
   Kama kuna pilau ntaenda, si unajua tena sie watu wa Pwani.

  5. F.dizzoy's Avatar
   Member Array
   Join Date : 22nd June 2011
   Posts : 20
   Rep Power : 536
   Likes Received
   3
   Likes Given
   0

   Default Re: Nasumbuliwa na Shahidi wa Yehova

   hata me naungana na wa2 waliopita nenda kawasikilize then utaamua na mungu akusaidie.

  6. shosti's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 21st December 2010
   Location : M'nyamala
   Posts : 4,958
   Rep Power : 1655
   Likes Received
   1445
   Likes Given
   1830

   Default Re: Nasumbuliwa na Shahidi wa Yehova

   kha watu wagumu na maneno ya mungu...kwani wanatumia muda gani kuongea na wewe kama si dk 15 na unafaidika

  7. TANMO's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 12th April 2008
   Location : Tanzagiza
   Posts : 8,725
   Rep Power : 15037362
   Likes Received
   3975
   Likes Given
   5014

   Default Re: Nasumbuliwa na Shahidi wa Yehova

   Kumbukumbu zangu kwenye Biblia sijaona mahali Yesu alikuwa analazimisha watu kumfuata...
   Na msafara wake ulikuwa hauishi watu, kwa sababu matendo yake na mafundisho yake pekee yalijitosheleza kuvuta umati wa watu..
   Sasa iweje hawa walokole hawafuati mfano wa Yesu na kuacha watu waamue wenyewe kuwafuata baada ya kuona miujiza yao?
   Ina maana hawajiamini mpaka wajitangaze redioni na kwa kupigia watu simu??
   Do Something......

  8. pcman's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 9th October 2008
   Posts : 701
   Rep Power : 812
   Likes Received
   132
   Likes Given
   209

   Default

   Quote By TANMO View Post
   Kumbukumbu zangu kwenye Biblia sijaona mahali Yesu alikuwa analazimisha watu kumfuata...
   Na msafara wake ulikuwa hauishi watu, kwa sababu matendo yake na mafundisho yake pekee yalijitosheleza kuvuta umati wa watu..
   Sasa iweje hawa walokole hawafuati mfano wa Yesu na kuacha watu waamue wenyewe kuwafuata baada ya kuona miujiza yao?
   Ina maana hawajiamini mpaka wajitangaze redioni na kwa kupigia watu simu??
   Mashahidi wa yehova sio walokole.

  9. Bujibuji's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 4th February 2009
   Location : NYUMBANI PANONO
   Posts : 23,629
   Rep Power : 51528094
   Likes Received
   12920
   Likes Given
   10024

   Default Re: Nasumbuliwa na Shahidi wa Yehova

   mafundisho yao utata mtupi, wanakataza hata kumuongezea damu mgonjwa, siwataki.

  10. Humphnicky's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 1st December 2010
   Posts : 1,301
   Rep Power : 823
   Likes Received
   320
   Likes Given
   38

   Default Re: Nasumbuliwa na Shahidi wa Yehova

   Mikela, jiunge nao urithi nchi

  11. Saint Ivuga's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 21st August 2008
   Posts : 25,333
   Rep Power : 88801445
   Likes Received
   7580
   Likes Given
   13009

   Default Re: Nasumbuliwa na Shahidi wa Yehova

   Quote By TANMO View Post
   Kumbukumbu zangu kwenye Biblia sijaona mahali Yesu alikuwa analazimisha watu kumfuata...
   Na msafara wake ulikuwa hauishi watu, kwa sababu matendo yake na mafundisho yake pekee yalijitosheleza kuvuta umati wa watu..
   Sasa iweje hawa walokole hawafuati mfano wa Yesu na kuacha watu waamue wenyewe kuwafuata baada ya kuona miujiza yao?
   Ina maana hawajiamini mpaka wajitangaze redioni na kwa kupigia watu simu??
   haya baba paroko
   JF the best place to be. and the POWER of God be with us all the time.

  12. mchillo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 13th October 2010
   Posts : 416
   Rep Power : 655
   Likes Received
   133
   Likes Given
   198

   Default Re: Nasumbuliwa na Shahidi wa Yehova

   Quote By mikela View Post
   Huyu jamaa alikuwa akinipigia simu kila siku usiku na kutaka nihamie kanisani kwao. Nimemkataza kunipigia, kwa kweli ameacha, lakini namba yangu nahisi kaigawa kanisa zima, maana napigiwa simu hadi na watoto wakinitaka nihamie huko kanisani kwao.
   Kwasiku napokea simu zisizo na idadi.
   Pole. Sijui hadi sasa unaabudu wapi au u dhehebu gani. Maana kama ni mkristo jamaa wana mafundisho tata kwelikweli tena ya kubumba hadi kuichakachua hata Biblia!
   Heri ujinga wa mtu mzima kuliko busara za kichaa

  13. King'asti's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 26th November 2009
   Location : Masaini
   Posts : 26,119
   Rep Power : 429502265
   Likes Received
   20912
   Likes Given
   10494

   Default Re: Nasumbuliwa na Shahidi wa Yehova

   Mungu ana haja na roho yako ndugu,changamka banaa

  14. Humphnicky's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 1st December 2010
   Posts : 1,301
   Rep Power : 823
   Likes Received
   320
   Likes Given
   38

   Default

   Quote By mchillo View Post
   Pole. Sijui hadi sasa unaabudu wapi au u dhehebu gani. Maana kama ni mkristo jamaa wana mafundisho tata kwelikweli tena ya kubumba hadi kuichakachua hata Biblia!
   Hawa jamaa ni noma, yaani wana Biblia yao iko tofauti kabisa na Biblia za kawaida, ni wapinga Kristo ni bora kutowasikiliza kabisa.

  15. Pukudu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 7th January 2011
   Location : Maskani.
   Posts : 2,434
   Rep Power : 85902550
   Likes Received
   964
   Likes Given
   494

   Default Re: Nasumbuliwa na Shahidi wa Yehova

   hawa jamaa wana moyo sana wa kushuhudia na kukaribusha watu ktk ibada zao, yaani ukushahudhuria kanisani kwao ni kosa kila siku ya ibada watakutafuta popote pale hawataki kupoteza kondoo hapo kuna mawili either ulikuwa mshirika pale umekengeuka so wanakurudisha kundini or ulishawahi kuabudu nao au ulipromise kuwa nao

  16. Kurunzi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 31st July 2009
   Location : DAR ES SALAAM
   Posts : 3,529
   Rep Power : 1335
   Likes Received
   757
   Likes Given
   303

   Default

   Quote By mikela View Post
   Huyu jamaa alikuwa akinipigia simu kila siku usiku na kutaka nihamie kanisani kwao. Nimemkataza kunipigia, kwa kweli ameacha, lakini namba yangu nahisi kaigawa kanisa zima, maana napigiwa simu hadi na watoto wakinitaka nihamie huko kanisani kwao.Kwasiku napokea simu zisizo na idadi.
   Mashahidi wa Yehova hawalazimishi mtu kwenda kwenda kwenye ibada zao au kuwa Mmoja wa waumini wao utaratibu huo haupo kwani kuwa Shahidi wa Yehova na kuhudhuria ibada nilazima ujifunze mambo kadhaa ya msingi kupitia home Bible study na unaweza kuwa na hii home Bible study huku ukiendelea na imani yako na hawata kulazimisha kuacha mpaka hapo wewe utakapokuwa umeweza kutofautisha uliko wewe na upande wa Mashaidi then kwa hiyari yako utachangua ipi ni njia na hiyo ndiyo falsafa yao. Na wao hudeal na wale wanaonyesha interest na belives zao. Sasa ikiwa wanakulazimasha inawezekana wewe ulipendezwa awali ukanza kujifunza sasa inawezekana hupendezwi tena,

  17. Manyanza's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 4th November 2010
   Location : Look Behind You......
   Posts : 4,446
   Rep Power : 25606
   Likes Received
   1203
   Likes Given
   933

   Default

   Quote By Humphnicky View Post
   Hawa jamaa ni noma, yaani wana Biblia yao iko tofauti kabisa na Biblia za kawaida, ni wapinga Kristo ni bora kutowasikiliza kabisa.
   Nimewahi ona bible wanayotumia ina kitabu kinaitwa SILAS, ambacho kilikataliwa kisiingizwe ktk Biblia takatifu.

  18. Mazingira's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 31st May 2009
   Posts : 1,829
   Rep Power : 1004
   Likes Received
   257
   Likes Given
   1168

   Default Re: Nasumbuliwa na Shahidi wa Yehova

   Quote By mikela View Post
   mafundisho yao utata mtupi, wanakataza hata kumuongezea damu mgonjwa, siwataki.
   Mafunsidho yao ni ya uongo. Hawafundishi sawasawa na Biblia. Kwa mfano wanadai hakuna mbingu mpya ila ni hapa tu duniani yale majumba mazuri mazuri ndo watakaa humo. Usithubutu kwenda huko maana kama huna nguvu ya Kiungu katika ulimwengu usiionekana utaenda ukapandikizwe mapepo huko.
   Usiwanyime watu mema yaliyo haki yao, ikiwa katika uwezo wa mkono wako kuyatenda (Mithali 3:27)

  19. mzee wa njaa's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 16th June 2011
   Posts : 1,368
   Rep Power : 805
   Likes Received
   212
   Likes Given
   107

   Default Re: Nasumbuliwa na Shahidi wa Yehova

   ukiitwa kutongozwa unaenda...

  20. shosti's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 21st December 2010
   Location : M'nyamala
   Posts : 4,958
   Rep Power : 1655
   Likes Received
   1445
   Likes Given
   1830

   Default Re: Nasumbuliwa na Shahidi wa Yehova

   jamani kuna mwenye kuwafahamu hawa wanaojiita THE BOOK OF MORMON maana nna kama miezi miwili wananipiga darasa mpaka nahisi kama navutika nao,nsijeingia choo cha kiume buree

  Page 1 of 2 12 LastLast

  Similar Topics

  1. Mchungaji Yehova jela kwa wizi
   By kilimasera in forum Jukwaa la Sheria (The Law Forum)
   Replies: 1
   Last Post: 20th March 2013, 03:25
  2. nasumbuliwa na tumbo wakati wa hedhi
   By Kanjunju in forum JF Doctor
   Replies: 3
   Last Post: 17th April 2011, 19:21
  3. Nasumbuliwa na MIJIMAMA
   By Bujibuji in forum Mahusiano, mapenzi, urafiki
   Replies: 51
   Last Post: 28th September 2010, 11:36

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...