imezoeleka wanawake wapi wazuri/wembamba/wanene/mkoa gani wa mabinti bomba sasa leo kwenu
Wanaume wa ARUSHA na Dar wapi wakali/wa maana?
imezoeleka wanawake wapi wazuri/wembamba/wanene/mkoa gani wa mabinti bomba sasa leo kwenu
Wanaume wa ARUSHA na Dar wapi wakali/wa maana?
wa arusha hatuli tigo,sisi wakristo
yaani
wewe umeanzisha thread kabisa?
huoni ile thread ilikuwa ya kijinga????
je kama mtu kazaliwa arusha na anaishi dar kwa miaka mingi?????
au mzaramo aliezaliwa arusha??????
au mhindi wa arusha na dar wanatofautiana????
mpemba wa arusha na dar??????
Watch your thoughts,They become words, Watch your words, They become deeds, Watch your deeds, They become habits, Watch your habits, They become character, Watch your character, It becomes your destiny!
wanaume wa dar( sio wote ila asilimia kubwa) ni masharobaro balaa, kaz yao kubwa ni kuoga, kupaka powder, lip shine, na kukaa kijiweni! Wanapenda kuomba vocha hao..hawapendi kazi!
sistaa we niaje? Unataka utufananishe na wapaka poda sisi?huyu manzii niaje.....acha usoro!
watoto wa arauchuga wengi wao utasika anasema natak nimwachae prado mamaa mi ninunue mkonge,wa daa utasiki nyie nendeni tu na bajaji mshua kabana ufunguo hata bi mkubwa mwenye hajakubali kutoa hela ya mafuta.
Tafakar then chagua mwenyewe.
wanaume wa DaR wapo juu.dar ni chuo kikuu cha maisha.kama anaishi dar basi mheshimu sana.mia
Onene nale sukuma gete gete.. Angu..?!!
Hela silaha... Kisu Mzigo
hii thread haina hata maana wala haijengi. Hii mambo ndo inashusha hadhi ya jamvi.
Umesomea nini mkuu kwa sababu wewe ndo hujui unalazimisha mambo ya uongo mtupu. Ina maana wachaga wanaoishi Dar ni Wazaramo? you have definitely missed out the point, yaani kwa ufupi UMEJIKANGANYA KAMA SIYO KUJIKOROGA" Hujaelewa unataka kuongea nini naomba URUDIE!!!.
Nasema hivi kwa sababu ni sawa na kusema hivi viazi vya Mbeya na vya West kilimanjaro vipi vitamu; halafu kumbuka vitamu ni RELATIVE TERM ambayo inategemea maana ya utamu kwa kila mtu.
Follow Us Here