Habari ambazo hazijathitishwa zimeaarifu kuwepo kwa jaribio la kutaka kumuua Rais wa wananchi Dr wa Ukweli Slaa ,ninaposema rais wa watanzania nina maanisha Dr Slaa ,Kikwete ni Rais wa kichina wa Tume ya uchaguzi ambaye alichakachua matokeo ya uchaguzi na kuingia ikulu kama wa china wanavyochakachua bidhaa feki.
Jaribio hilo kwa mujibu wa vyanzo nyeti vya habari kutoka kwa baadhi ya makada wa sisiemu zinasema ,machafuko ya tarime yamekuwa ni mtaji wa kisiasa ukilenga kumwondoa Dr Slaa ,kama dr Slaa angeleenda huko tarime basi angekutwa na kitu kibaya .inasemekana kuliandaliwa mpango mahususi wa kumwangamiza kwa njia ya sumu ambayo ingempata dr Slaa angenza kuchanganyikiwa kama kichaa.
katika mpango huo ambao wengi wameulaani wanasema kama dr slaa atakufa ndani ya kipindi kabla ya 2015 ama zaidi ya hapo kwa njia yoyote ile basi machafuko makubwa yatatokea .

Reply With Quote


"

Follow Us Here