Hebu nipeni losti wadau ila nadhani Dar inaongoza. Kila sehemu niendako nakutana na lundo la machangudoa.
Hebu nipeni losti wadau ila nadhani Dar inaongoza. Kila sehemu niendako nakutana na lundo la machangudoa.
Tulizana mwana kwetu, hapa JF mbona kuna kila cha kukufanya hata nje usitoke?
Mbona umetaja sehemu nyingi za mashoga? Mombasa, Zenji and Tanga wamejaa watoto wa kiume wa kike
Upuzii mtupu..... kuna cha mikoa inayoongoza kwa umalaya dunia ya leo? jaribu kuumiza kichwa chako kabla ya kuanzisha ----- kama huu...
No system can be "secure"
All locks have keys
All keys can be recreated
Wanaofanya umalaya ni watu wenyewe, iweje tuisingizie mikoa? Nikiwa malaya sana Mbeya kisha nikahamia Rukwa na kuuendeleza umalaya wangu utasema ni mkoa gani malaya hapo?
Pemba tena, mie nilienda huko kwenye miradi, fasta nikaambiwa uniachie uke wangu ntakupa kwa huku(nyuma). Nikasita na kuchekwa
IT IS TO THOSE WITHOUT TEETH GOD GIVES MEAT
Umalaya Popote tu mkuu
Simple Look But Tough in Wallet
kilimanjaro(Moshi)
Knowledge is knowing that a tomato is a fruit; wisdom is knowing not to put it in a fruit salad.
Dar na Pwani hutumii nguvu,
"Honesty is very expensive gift. Do not expect it from cheap people".
-Warren Buffet
jamani siku hizi hata dodoma sanasana kipindi cha mjengoni!! usi seme
Lkn mada nyingine jamani cjui watu wamechoka kutoa mada za ujenzi wa taifa? kwanini tusiwajadili hata mawaziri basi utendaji wao,tujadili ufidi kama bandarini, TRA, ujambazi, ajali za barabarani, mwl. Nyerere na utendaji wake, Shein je ataifikisha wapi zenj, je zanzibar unadhani umjoa wa kitaifa utaobadili TZ kwa ujumla wake? je mwl Seif ataisaidia zanzibar au longolongo? je mafuta na gas inafaa kuwa mambo ya muungano? je utakatifu wa rais na mengine aliyosema yafaa kuachwa au tuyajadili hata kama tume inayahodhi? je Tanganyika yetu irudi au tubaki na TZ? nadhani kama tutaamua kuyajadlil haya mojamoja tutaiwezesha nchi yetu kuwa mbali, lkn bado asubuhi tuanzungumzia mambo yasiyo tija, nisawa na kusema aa! yule jama noma, anakunywa mizinga miwili bila maji au soda,lkn hujui anajifia mwenyewe nakuwaachia wanawe uyatimaa?
Let us takl the Hard talks 4 the future of ours.
well siasa hapa si mahala pake,wengine nafsi zetu zimechoshwa na siasa,utatufanya tuangushe vilio kwa yaliyo tukuta hapo awali.
Follow Us Here