Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: JF inahitaji memba awe kama mwanamume mwenye wake zaidi ya mmoja

    Report Post
    Results 1 to 7 of 7
    1. #1
      The Prophet's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 17th March 2011
      Posts : 682
      Rep Power : 554
      Likes Received
      94
      Likes Given
      16

      Default JF inahitaji memba awe kama mwanamume mwenye wake zaidi ya mmoja

      why?

      lazima sasa kuwa na ID zaid ya moja kwa sababu unaweza kula ban any time ikala kwako.


    2. #2
      Dena Amsi's Avatar
      JF Bronze Member Array
      Join Date : 17th August 2010
      Location : Saayo
      Posts : 11,903
      Rep Power : 8743
      Likes Received
      3196
      Likes Given
      1596

      Default Re: JF inahitaji memba awe kama mwanamume mwenye wake zaidi ya mmoja

      Hiyo muhimu sana mkuu kama huna nyingine fasta tengeneza
      A Little Impatience can spoil great plan!!!!!!!!!!!!!!! "Dont Loose your temper nobody need it"

    3. #3
      Mzalendo80's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 30th October 2010
      Location : Magogoni, Tanganyika
      Posts : 2,280
      Rep Power : 964
      Likes Received
      822
      Likes Given
      1589

      Default Re: JF inahitaji memba awe kama mwanamume mwenye wake zaidi ya mmoja

      Ndio Nimetoka kifungoni leo nilikuwa kwenye kifungo cha mwezi mmoja, na nimekuwa na account 3. Lazima uoe mke mwengine hapa JF kama unataka kudumu muda mrefu
      The CCM is a crime syndicate, Most members and MPs of CCM are corrupt. No conceince, No brains no nothing, just bunches of criminal and theft. Corruption cost mlalahoi in de street.

    4. #4
      kipipili's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th July 2009
      Posts : 1,281
      Rep Power : 759
      Likes Received
      61
      Likes Given
      13

      Default Re: JF inahitaji memba awe kama mwanamume mwenye wake zaidi ya mmoja

      Quote By Dena Amsi View Post
      Hiyo muhimu sana mkuu kama huna nyingine fasta tengeneza
      ahaaa kumbe DA=AD
      "Annuntio vobis gaudium magnum... habemus papam!" - "I announce to you a great joy... we have a pope!"

    5. #5
      Husninyo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th October 2010
      Posts : 17,241
      Rep Power : 24920
      Likes Received
      4214
      Likes Given
      686

      Default Re: JF inahitaji memba awe kama mwanamume mwenye wake zaidi ya mmoja

      Hizo Id zenu zote zinatoa mchango wa pesa jf au ndio mambo ya kujaza server.
      Aliyesema watu wajisajili kwa pesa alikuwa na akili. Inawezekana huu ----- ukapungua.
      Nina uhakika Id yako moja lazima itakuwa inatema pumba humu vingnevyo kusingekuwa na haja ya kuwa na id zaid ya moja.


    6. #6
      Al Zagawi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 17th March 2009
      Location : Tabora
      Posts : 836
      Rep Power : 690
      Likes Received
      161
      Likes Given
      54

      Default Re: JF inahitaji memba awe kama mwanamume mwenye wake zaidi ya mmoja

      Quote By The Prophet View Post
      why?

      lazima sasa kuwa na ID zaid ya moja kwa sababu unaweza kula ban any time ikala kwako.
      na kwanini ule ban mkuu...

      ni wazi utakuwa umekiuka sheria za mchezo...

      swali..je kuna mchezo usio na sheria?

      shida hapa JF kuna watu ni lazima wachangie mada kwa kuwa wana fursa ya kufanya hivyo na si kwa sababu wanahitaji kuchangia....matokeo ni kuandika utumbo usio kifani...
      ...........Uwanja wa siasa katika nchi karibu zote za Kiafrika, ni uwanja uliotekwa na majambazi ambao wanafanya wanachotaka, vile wanavyotaka..........Jenerali Ulimwengu, Raia Mwema Namba 278.

    7. #7
      MpigaKelele's Avatar
      JF Premium Member Array
      Join Date : 6th November 2010
      Posts : 2,360
      Rep Power : 995
      Likes Received
      517
      Likes Given
      1575

      Default Re: JF inahitaji memba awe kama mwanamume mwenye wake zaidi ya mmoja

      I was shocked the first instant when I read the thread title.....
      Curiosity.........
      A well tight cornered rat can bite a Cat...

    Similar Topics

    1. Anaweza kuzaa na mwanamume mmoja tu hapa duniani!!!
      By Mbunge wa CCM in forum Mahusiano, mapenzi, urafiki
      Replies: 48
      Last Post: 25th December 2011, 10:37
    2. Replies: 23
      Last Post: 21st July 2011, 07:50
    3. Swali kwenu wenye wake zaidi ya mmoja na mnaomiliki mume mmoja
      By Gbollin in forum Mahusiano, mapenzi, urafiki
      Replies: 15
      Last Post: 18th April 2011, 10:47

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...