JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: nywele

  Report Post
  Page 1 of 2 12 LastLast
  Results 1 to 20 of 37
  1. niwaellyester1's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 7th September 2010
   Posts : 126
   Rep Power : 598
   Likes Received
   1
   Likes Given
   1

   Default nywele

   hili swali ni kwa wadada zaidi, me nywele zangu zimekatika sana hadi huruma, hasa mbele, nafikiria kunyoa nianze upya ila duh!!! nina kichwa kibaya , uzuri wangu utaharibika so nataka nikomae nazo, naomba mnishauri cjui nipake dawa gani , mafuta gani nitumie au nisuke nini ili zirudi

  2. misorgenes's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 7th October 2010
   Posts : 190
   Rep Power : 607
   Likes Received
   19
   Likes Given
   10

   Default Re: nywele

   Kwnz nywel zako ni nyingi au nyepesi(chache)? Ulikuw una2tumia dawa gan?

  3. Michelle's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 16th November 2010
   Location : Empire State of Mind
   Posts : 7,271
   Rep Power : 413328988
   Likes Received
   2427
   Likes Given
   3214

   Default Re: nywele

   Pole sana Niwaely....Nywele kukatika kuna sababu nyingi....matunzo duni,kutumia kemikali sana,stress,upungufu wa vitamini na madini fulani ya kurutubisha nywele na haya ma weaving,wig kila kukicha kiasi kwamba hata hewa hazipati na mwanga wa jua,au pengine ujauzito au menopause....na pia magonjwa.....ushauri wangu,jaribu kwanza kujua chanzo cha kukatika nywele ni nini?? kubadili mafuta?usafi duni,stress au? ukishajua,waweza shaurika....

   Kuhusu kunyoa...might be a good solution kama wewe ni mtumiaji wa kemikali na msuka ma weaving sana au una magonjwa ya ngozi...kichwa kibaya si chako bana? ukiwa unatafuta suluhisho la tatizo lako usiangalie watasemaje....watakaosema hawapati adha unayopata.....so nyoa kama unaweza.......be proud of yourself hata kama una milima na mabonde hakuna atakayekusaidia kujikubali na kujipenda ni wajibu wako vyovyote vile ulivyo......!!!!
   I understand that God did not put in me the ability to always make right decisions.He did,however put in me the ability to make a decision and then make it right.My mind will live in the solution of the future.

  4. WiseLady's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 22nd January 2010
   Location : church
   Posts : 3,234
   Rep Power : 1251
   Likes Received
   439
   Likes Given
   762

   Default Re: nywele

   niwaely pole sana,,,ila michelle amekueleza vema,,naweka tu msisitizo kny kujikubali,umesema ukinyoa uzuri wako utaharibika!sitaki kuamini kuwa ulipokuwa na nywele fupi ulikuwa mbaya!na huo ubaya ukoje cjui pia,,,kifupi ni kuwa jikubali na jiamini either kwa kuwa na nywele fupi au ndefu bado ww ni mzuri,,,kwa tatizo ulilo nalo kama umeweka relaxer acha iishe kny nywele then punguza nywele zako kwa level ambayo utaona zimelingana,,,ukipenda waweza kuwa unasuka zaidi na uwe selective kny steaming,hair fertilizer,conditioner na shampoo kulingana na nature ya nywele zako.gud cheer

  5. Michelle's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 16th November 2010
   Location : Empire State of Mind
   Posts : 7,271
   Rep Power : 413328988
   Likes Received
   2427
   Likes Given
   3214

   Default Re: nywele

   Quote By WiseLady View Post

   asante kwa msisitizo wifi mpendwa....natumai hujambo...kaka yako hajambo?kanichunia!
   I understand that God did not put in me the ability to always make right decisions.He did,however put in me the ability to make a decision and then make it right.My mind will live in the solution of the future.

  6. niwaellyester1's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 7th September 2010
   Posts : 126
   Rep Power : 598
   Likes Received
   1
   Likes Given
   1

   Default Re: nywele

   Quote By misorgenes View Post
   Kwnz nywel zako ni nyingi au nyepesi(chache)? Ulikuw una2tumia dawa gan?
   nywele zangu ni chache sana, natumiaga dark in love ya box

  7. FirstLady1's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 29th July 2009
   Location : Mama Mwenye Nyumba
   Posts : 16,103
   Rep Power : 85937919
   Likes Received
   4348
   Likes Given
   7806

   Default Re: nywele

   Nyoa tu mpendwa uanze moja wakati zinaota unaweza kufunga vitambaa kwa style nyingi tu ... i hope utapendeza   [img][/img]
   No one is in charge of your happiness except you...
   God time is the best..
   Tupo wangapi?

  8. niwaellyester1's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 7th September 2010
   Posts : 126
   Rep Power : 598
   Likes Received
   1
   Likes Given
   1

   Default Re: nywele

   Quote By Michelle View Post
   Pole sana Niwaely....Nywele kukatika kuna sababu nyingi....matunzo duni,kutumia kemikali sana,stress,upungufu wa vitamini na madini fulani ya kurutubisha nywele na haya ma weaving,wig kila kukicha kiasi kwamba hata hewa hazipati na mwanga wa jua,au pengine ujauzito au menopause....na pia magonjwa.....ushauri wangu,jaribu kwanza kujua chanzo cha kukatika nywele ni nini?? kubadili mafuta?usafi duni,stress au? ukishajua,waweza shaurika....

   Kuhusu kunyoa...might be a good solution kama wewe ni mtumiaji wa kemikali na msuka ma weaving sana au una magonjwa ya ngozi...kichwa kibaya si chako bana? ukiwa unatafuta suluhisho la tatizo lako usiangalie watasemaje....watakaosema hawapati adha unayopata.....so nyoa kama unaweza.......be proud of yourself hata kama una milima na mabonde hakuna atakayekusaidia kujikubali na kujipenda ni wajibu wako vyovyote vile ulivyo......!!!!
   nywele zilianzia kukatika nilivyosuka kimasai, baada ya hapo hazijaendelea tena , nikisuka yeboyebo zinawahi kufumuka coz za mbele hazipo, na njia 3 nazo zinazidi kunikata nywele, na hapa kichwani nina weavinga na kwa sasa ndio nayasuka sana coz zinafunika pale palipokatika, kuusu kunyoa dada angu hapana

  9. niwaellyester1's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 7th September 2010
   Posts : 126
   Rep Power : 598
   Likes Received
   1
   Likes Given
   1

   Default Re: nywele

   Quote By WiseLady View Post
   niwaely pole sana,,,ila michelle amekueleza vema,,naweka tu msisitizo kny kujikubali,umesema ukinyoa uzuri wako utaharibika!sitaki kuamini kuwa ulipokuwa na nywele fupi ulikuwa mbaya!na huo ubaya ukoje cjui pia,,,kifupi ni kuwa jikubali na jiamini either kwa kuwa na nywele fupi au ndefu bado ww ni mzuri,,,kwa tatizo ulilo nalo kama umeweka relaxer acha iishe kny nywele then punguza nywele zako kwa level ambayo utaona zimelingana,,,ukipenda waweza kuwa unasuka zaidi na uwe selective kny steaming,hair fertilizer,conditioner na shampoo kulingana na nature ya nywele zako.gud cheer
   nataka nijitahidi hapa zaidi , inshort me kichwa changu kina kisogo so hata nilivyokuwa cna nywele enzi zile nilikuwa cjipendi

  10. niwaellyester1's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 7th September 2010
   Posts : 126
   Rep Power : 598
   Likes Received
   1
   Likes Given
   1

   Default Re: nywele

   Quote By FirstLady1 View Post
   Nyoa tu mpendwa uanze moja wakati zinaota unaweza kufunga vitambaa kwa style nyingi tu ... i hope utapendeza   [img][/img]
   b shoct nahic kufunga vitambaa cpendezi, nikinyoa labda nivae wigi, ila nitalipata wapi wigi zuri? affordable

  11. Michelle's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 16th November 2010
   Location : Empire State of Mind
   Posts : 7,271
   Rep Power : 413328988
   Likes Received
   2427
   Likes Given
   3214

   Default Re: nywele

   Quote By niwaellyester1 View Post
   nywele zilianzia kukatika nilivyosuka kimasai, baada ya hapo hazijaendelea tena , nikisuka yeboyebo zinawahi kufumuka coz za mbele hazipo, na njia 3 nazo zinazidi kunikata nywele, na hapa kichwani nina weavinga na kwa sasa ndio nayasuka sana coz zinafunika pale palipokatika, kuusu kunyoa dada angu hapana
   kama ulishaamua hapana usingeweka kwenye post yako.....uamuzi ni wako kwa kuwa pia kichwa ni chako sisi tunakushauri hatukuambii fanya hivi!!
   I understand that God did not put in me the ability to always make right decisions.He did,however put in me the ability to make a decision and then make it right.My mind will live in the solution of the future.

  12. Michelle's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 16th November 2010
   Location : Empire State of Mind
   Posts : 7,271
   Rep Power : 413328988
   Likes Received
   2427
   Likes Given
   3214

   Default Re: nywele

   Quote By niwaellyester1 View Post
   nywele zilianzia kukatika nilivyosuka kimasai, baada ya hapo hazijaendelea tena , nikisuka yeboyebo zinawahi kufumuka coz za mbele hazipo, na njia 3 nazo zinazidi kunikata nywele, na hapa kichwani nina weavinga na kwa sasa ndio nayasuka sana coz zinafunika pale palipokatika, kuusu kunyoa dada angu hapana
   Quote By niwaellyester1 View Post
   b shoct nahic kufunga vitambaa cpendezi, nikinyoa labda nivae wigi, ila nitalipata wapi wigi zuri? affordable
   ukishaamua kunyoa au kusuka au kufunga vitambaa utasaidika kirahisi sana....make up your mind first!
   I understand that God did not put in me the ability to always make right decisions.He did,however put in me the ability to make a decision and then make it right.My mind will live in the solution of the future.

  13. WiseLady's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 22nd January 2010
   Location : church
   Posts : 3,234
   Rep Power : 1251
   Likes Received
   439
   Likes Given
   762

   Default

   Quote By Michelle View Post
   asante kwa msisitizo wifi mpendwa....natumai hujambo...kaka yako hajambo?kanichunia!
   wifi yangu bana!kaka kakuchunia maana unarukaruka mno ila haachi kukupenda maana ndo kafika hivyo!mie mzima kaa mkao wa wk end,,,,,,hebu assume ikatokea hakuna mawig,weaving,relaxer,au hata rasta za kusuka kitatokea nini kwa wanawake?

  14. Barbie Maliposa's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 9th February 2011
   Posts : 152
   Rep Power : 581
   Likes Received
   12
   Likes Given
   43

   Default Re: nywele

   nyoa afu tafuta mawigi yako mawili mazuri uwe unavaa,zikianza kukua suka za mkono huku unaendelea kuvaa wigi,kama unaogopa kunyoa na kuacha kichwa wazi.
   "somebody doesnt care about my beauty sleep"

  15. Mary Chuwa's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 24th February 2011
   Posts : 178
   Rep Power : 584
   Likes Received
   30
   Likes Given
   25

   Default Re: nywele

   Pole sana mpendwa kwa lililokusibu wengi hukutwa na hali kama yako pindi wanaposuka mtindo huo wa kimasai,ila kwasababu umesema hutaki kunyoa japo kuna mitindo mbalimbali ya kunyoa ambayo ungependeza sana ,na hata kama ukinyoa basi unaweza kuvaa wigi kama ulivyopendekeza mwenyewe,kama hutaki kufunga lemba, sijajua upo mkoa gani lakini unapoishi unaweza kupata weaving la gharama utakayomudu endapo utapita kwenye maduka ya urembo/vipodozi.
   Na pia unaweza kutumia vitu vya asili kama parachichi,,samli kama steaming pia.
   Kingine kuna shampoo nyingi ambazo zinatumika kwenye saloon zipo chini ya viwango na huchangia pia kuharibika kwa nywele hivyo uwe makini na hilo.
   Uzuri unao ila tayari umeshajitia kasoro mwenyewe kuwa una kichogo,kichogo si kasoro bali ni jinsi Mungu alivyokuumba

  16. Michelle's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 16th November 2010
   Location : Empire State of Mind
   Posts : 7,271
   Rep Power : 413328988
   Likes Received
   2427
   Likes Given
   3214

   Default Re: nywele

   Quote By WiseLady View Post
   wifi yangu bana!kaka kakuchunia maana unarukaruka mno ila haachi kukupenda maana ndo kafika hivyo!mie mzima kaa mkao wa wk end,,,,,,hebu assume ikatokea hakuna mawig,weaving,relaxer,au hata rasta za kusuka kitatokea nini kwa wanawake?
   wifi mbona sasa hivi nimetulia....au wataka kuniambia hujaona nilivyokuwa mpole?.....nimekaa ki wikiendi tayari.....mimi hayo mavitu kwa nadra sana...labda nina event inayonilazimu......kusema ukweli wifi visingekuwepo ningefurahi,manake watu tunatumia hela nyingi sana kwenye hayo mambo na kuumia pia.....life would have been better!!!
   I understand that God did not put in me the ability to always make right decisions.He did,however put in me the ability to make a decision and then make it right.My mind will live in the solution of the future.

  17. WiseLady's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 22nd January 2010
   Location : church
   Posts : 3,234
   Rep Power : 1251
   Likes Received
   439
   Likes Given
   762

   Default

   Quote By Michelle View Post
   wifi mbona sasa hivi nimetulia....au wataka kuniambia hujaona nilivyokuwa mpole?.....nimekaa ki wikiendi tayari.....mimi hayo mavitu kwa nadra sana...labda nina event inayonilazimu......kusema ukweli wifi visingekuwepo ningefurahi,manake watu tunatumia hela nyingi sana kwenye hayo mambo na kuumia pia.....life would have been better!!!
   hahaha!nimeona mpenzi nilitaka tu nikupime unajiamini kiasi gani,,ama kweli kaka kapata,,sa kumi na moja basi tuchekiane kaka atakuwa amerudi kutoka loli......msisitizo,,,,leo nitapenda uje umenyoa nasema kwa niaba ya kaka,,,lol

  18. Michelle's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 16th November 2010
   Location : Empire State of Mind
   Posts : 7,271
   Rep Power : 413328988
   Likes Received
   2427
   Likes Given
   3214

   Default Re: nywele

   Quote By WiseLady View Post
   hahaha!nimeona mpenzi nilitaka tu nikupime unajihamini kiasi gani,,ama kweli kaka kapata,,sa kumi na moja basi tuchekiane kaka atakuwa amerudi kutoka loli......
   hakuniaga anaenda huko?ana tatizo gani tena wifi? nafurahi umeona juhudi zangu....ndo maana nakupenda!!
   I understand that God did not put in me the ability to always make right decisions.He did,however put in me the ability to make a decision and then make it right.My mind will live in the solution of the future.

  19. WiseLady's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 22nd January 2010
   Location : church
   Posts : 3,234
   Rep Power : 1251
   Likes Received
   439
   Likes Given
   762

   Default

   Quote By Michelle View Post
   hakuniaga anaenda huko?ana tatizo gani tena wifi? nafurahi umeona juhudi zangu....ndo maana nakupenda!!
   kunipenda lazma unipende si unajua ukipenda boga????????umeona msisitizo lkn??kaka hakukuaga maana alienda last wk ulikuwa bado hujatulia,,lol!

  20. dracula's Avatar
   Member Array
   Join Date : 4th September 2008
   Posts : 64
   Rep Power : 690
   Likes Received
   32
   Likes Given
   7

   Default Re: nywele

   Tafuta mafuta ya T444 check website yao .. mafuta mazuri sana tu .. kopo ni Tshs 40,000/-

  Page 1 of 2 12 LastLast

  Similar Topics

  1. Hana nywele
   By amiride in forum JF Chit-Chat
   Replies: 14
   Last Post: 16th November 2011, 00:23
  2. Nywele
   By MaxShimba in forum Jamii Photos
   Replies: 9
   Last Post: 5th November 2011, 13:50
  3. mwanamke nywele ....lol
   By Jestina in forum JF Chit-Chat
   Replies: 41
   Last Post: 28th October 2011, 22:31
  4. Nywele
   By Mwenzetu in forum Jukwaa la Lugha
   Replies: 9
   Last Post: 14th October 2011, 02:14
  5. Nywele na kucha
   By KAKA A TAIFA in forum JF Doctor
   Replies: 1
   Last Post: 11th July 2011, 16:27

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...