Don't be a WOMAN that needs a man but the WOMAN a man needs
Asante sana
"you will permit me to put on my spectacles, for I have not only grown gray but almost blind in the service of my country."--President Geogre Washington
kha!
'' Mtu ni Utu sio Kitu''
UKICHOKA KUFANYA SIRI,FUMANIWA TU YAISHE . By Simon Kitururu.
huyu anaempika ni paka au ?
Our job is not to make up anybody's mind, but to open minds and to make the agony of the decision-making so intense you can escape only by thinking. ~Author Unknown
Mila za watu hizo jamani. Heshima mbele tafadhali.
Hivi imagine ndo una wife ametokea mitaa hiyo..jioni unatoka kibaruani unakuta maama ndo anaanda hiyo mboga....what will be your reaction? Taking into account wewe ni mtu wa Sengerema ambako hiyo hadithi hujawahi kuisikia kabisa...?
Silaha ya maskini ni elimu.
Duh! hata mi nilifikiri utani kumbe!!.....................
Chakula ni chakula bora kiende kinywani na kujaza tumbo
Don't be a WOMAN that needs a man but the WOMAN a man needs
Eheee kumbe hata paka wanakula tobaaa
If u can't stand for something , u will fall for anything !
Haka!! Hayo makuti huyaoni, huwa kuna makuti Iringa??
Huo udongo wa mchanga mweupo hapo chini kwa nini tusingiziane?? Watu wakupikia jiko la kuni kwa kutumia vipande vya mbao zilizobakia kwenye ujenzi huku Ma-Pwanipwani hamwajui??
Kwa nguo chakavu za kimasikini masikini hapo kidogo tumefanana hata nyumbani Kinyanambo tunao lakini huo unene wa kibwegebwege aliyonayo huyu baba hapa hatuna jamani.
Mikoa inayofuga sana PAKA hamyajui jaama, tusisingiziane tafadhali. Waacheni wenye paka zao wakale salama bila kusingiziana.
Nimepata taarifa kuwa hii ni tiba na sio mlo....msijemeza mimate buree!!!!!!
Zogolo Dangu Dawika Miye!
iringa ya wapi hiyo jamani watu wanakula paka? sijawai ona na mimi nimeishi sana iringa/
Tanzania ni tajiri,tena tajiri sanaaaa, lakini dah we acha tu! sijui kwanini watu wake masikini?
Follow Us Here