Hawa ni walevi!
Hawa naona kama wako kwenye joto hivi wanahitaji vijimambo tu!!
Duh... Hii imetulia.. umenikumbusa my sweet safari but ungeweka movie ingekaa poa zaidi![]()
Looo lakini Umewadhalilisha kinjinsia
Duh!!! Imenipandisha presha hii picha.
Je hawa ni watanzania?mbona siyo utamaduni wetu.
Independent sisters
Beware of a sucker punch
Ni maeneo ya wapi hayo. mana mi naijua dar tu nikitoka sana dondwe, pugu
hapo kila mmoja lita ngapi za mkojo?
halafu hawanawi kisha uzame chumvini utafanya mafungus wa mdom0o
Our job is not to make up anybody's mind, but to open minds and to make the agony of the decision-making so intense you can escape only by thinking. ~Author Unknown
Mh! wanafurahia kuchukuliwa hiyo picha
awapo sawa haooooooooooooooo
Follow Us Here