JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: MAPICHA: MTV party at Maisha club

  Report Post
  Page 2 of 3 FirstFirst 123 LastLast
  Results 21 to 40 of 52
  1. Lucchese DeCavalcante's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 10th January 2009
   Location : Here in Bongoland
   Posts : 5,496
   Rep Power : 2079
   Likes Received
   607
   Likes Given
   447

   Default MAPICHA: MTV party at Maisha club

   Mie nimezinguka na vivazi vya wadada hasa cha Jokate na huyo mwingine duh!

   Don't be a WOMAN that needs a man but the WOMAN a man needs
  2. Lucchese DeCavalcante's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 10th January 2009
   Location : Here in Bongoland
   Posts : 5,496
   Rep Power : 2079
   Likes Received
   607
   Likes Given
   447

   Default Re: MAPICHA: MTV party at Maisha club

   Quote By PhD View Post
   El Toro nakupongeza kwa dhati kabisa kwa jinsi unavyodumisha kazi iliyoachwa wazi na MFUNYUKUZI
   Tararibu mkuu hii si nme calling mods umeiona???
   Don't be a WOMAN that needs a man but the WOMAN a man needs  3. Rugas's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 8th January 2009
   Location : Arusha,Tanzania
   Posts : 1,050
   Rep Power : 870
   Likes Received
   182
   Likes Given
   1

   Default Re: MAPICHA: MTV party at Maisha club

   Quote By El Toro View Post
   Hiyo shanga na kipepeo mie hoiiii na huyo kwa kulia nae yuko tight kinoma!
   Ohh eti majuu hamnazo....SIKU HIZI HATA BONGO HAMNAZO...HATA KM NI BIASHARA,SI BORA UENDE KM ULIVYOZALIWA KIELEWEKE....

  4. boma2000's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 19th October 2009
   Location : nyumbani
   Posts : 2,900
   Rep Power : 1200
   Likes Received
   135
   Likes Given
   110

   Default Re: MAPICHA: MTV party at Maisha club

   Maisha mafupi lakini matamu oooh.........
   Tanzania Itajengwa na Watanzania Wazalendo wa Ukweli

  5. hashycool's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 2nd October 2010
   Location : network search....
   Posts : 5,566
   Rep Power : 1711
   Likes Received
   785
   Likes Given
   267

   Default Re: MAPICHA: MTV party at Maisha club

   hicho kipepeo tu dah! unapiga mambo huku unaona kipepeo
   the safest place to hide from the police is the police station!

  6. queenkami's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 8th February 2010
   Posts : 1,336
   Rep Power : 5504
   Likes Received
   617
   Likes Given
   1010

   Default Re: MAPICHA: MTV party at Maisha club

   huyu anatia hadi huruma!mwee!
   Yesu Nakupenda Nitumie Upendavyo.

  7. Kitumbo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 17th June 2010
   Location : Serengeti, Tanzania
   Posts : 534
   Rep Power : 691
   Likes Received
   166
   Likes Given
   53

   Default Re: MAPICHA: MTV party at Maisha club

   Quote By Safari_ni_Safari View Post
   Mimi niltuwama hapa kijijini kwetu...mida hii napiga hii picha mama muuza hajatokea   Mbona hii nyumba kama ya bibi yangu kijijini kiagata, au wewe ni ndugu yangu?

  8. Mtoto wa Kishua's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 15th October 2009
   Posts : 755
   Rep Power : 771
   Likes Received
   66
   Likes Given
   23

   Default Re: MAPICHA: MTV party at Maisha club

   Quote By Fab View Post
   Nzuri kushinda picha za hao wadada!big up
   Umasiki ni ufahari kwako ,bora huja wa kiongozi ukatuambia wote tuishi hivi na hutaki V8.

  9. NILHAM RASHED's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 29th November 2010
   Posts : 1,629
   Rep Power : 891
   Likes Received
   39
   Likes Given
   47

   Default Re: MAPICHA: MTV party at Maisha club

   jamani hash,,,,kila nipitapo pabaya nakuon wew habiby wangu mashakil yote unayo wew sasa kwanini ulinipokea bas????mimi ntalalamika mpaka mwisho wangu kwa ufanyayo sasa kipepeo chanini wapiga kazi huku wakiona kazi gani uifanyayo nyuma mpaka uone yaa raab muongoze mja wako huyu la ila ha ila llah!!!tahadhari hash mapenzi yang yapungua japo nakuamini na kukujali kiasi napita yanga mbaya kukutoa wewe,,,,
   Quote By hashycool View Post
   hicho kipepeo tu dah! unapiga mambo huku unaona kipepeo

  10. CHIEF MGALULA's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 11th September 2009
   Posts : 310
   Rep Power : 687
   Likes Received
   51
   Likes Given
   14

   Default Re: MAPICHA: MTV party at Maisha club

   Hakuna haja ya kwenda paris eti ndo kuna kila kitu,bongo we kuwa na hela yako tu,maisha kama huko majuu bwana!!!!!!!!

  11. Lucchese DeCavalcante's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 10th January 2009
   Location : Here in Bongoland
   Posts : 5,496
   Rep Power : 2079
   Likes Received
   607
   Likes Given
   447

   Default Re: MAPICHA: MTV party at Maisha club

   Quote By NILHAM RASHED View Post
   jamani hash,,,,kila nipitapo pabaya nakuon wew habiby wangu mashakil yote unayo wew sasa kwanini ulinipokea bas????mimi ntalalamika mpaka mwisho wangu kwa ufanyayo sasa kipepeo chanini wapiga kazi huku wakiona kazi gani uifanyayo nyuma mpaka uone yaa raab muongoze mja wako huyu la ila ha ila llah!!!tahadhari hash mapenzi yang yapungua japo nakuamini na kukujali kiasi napita yanga mbaya kukutoa wewe,,,,
   Dada hili ni shairi la kimahaba au lah maana kiswahili chako kigumu??
   Don't be a WOMAN that needs a man but the WOMAN a man needs  12. The Inquisitive's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 27th October 2010
   Posts : 178
   Rep Power : 601
   Likes Received
   26
   Likes Given
   9

   Default Re: MAPICHA: MTV party at Maisha club

   Jamani naomba kufahamishwa, hivyo vidole viwili vina maana gani? Naona siku hizi picha nyingi watu wananyoosha vidole viwili...

  13. NILHAM RASHED's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 29th November 2010
   Posts : 1,629
   Rep Power : 891
   Likes Received
   39
   Likes Given
   47

   Default Re: MAPICHA: MTV party at Maisha club

   alam ya shetani hiyo najua..
   Quote By The Inquisitive View Post
   Jamani naomba kufahamishwa, hivyo vidole viwili vina maana gani? Naona siku hizi picha nyingi watu wananyoosha vidole viwili...

  14. Lucchese DeCavalcante's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 10th January 2009
   Location : Here in Bongoland
   Posts : 5,496
   Rep Power : 2079
   Likes Received
   607
   Likes Given
   447

   Default Re: MAPICHA: MTV party at Maisha club

   Quote By The Inquisitive View Post
   Jamani naomba kufahamishwa, hivyo vidole viwili vina maana gani? Naona siku hizi picha nyingi watu wananyoosha vidole viwili...
   Two fingers means CHADEMA hoyeeeeeeeeeee
   Don't be a WOMAN that needs a man but the WOMAN a man needs  15. NILHAM RASHED's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 29th November 2010
   Posts : 1,629
   Rep Power : 891
   Likes Received
   39
   Likes Given
   47

   Default Re: MAPICHA: MTV party at Maisha club

   anikera huyu hash sasa mi nifanyeje kama si kulalamika,,,kiswahili changu kigumu kwani,??,,,wajua kwa vile sina practise sana zaidi ya humu jf na house maid wetu mswahili kaondoka kitambo alinisaidia sana kujua lugha hii sahihi kwani nilikua sifai kutamka siwezi sawasawa lakini kuandika alhamdulillah nashkuru kama nikiandika sivyo please naomba kusahihishwa nahitaji msada kukosa ndio kujua,au siyo el toro????
   Quote By El Toro View Post
   Dada hili ni shairi la kimahaba au lah maana kiswahili chako kigumu??

  16. Tasia I's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 21st April 2010
   Posts : 1,221
   Rep Power : 841
   Likes Received
   180
   Likes Given
   136

   Default Re: MAPICHA: MTV party at Maisha club

   Quote By PhD View Post
   El Toro nakupongeza kwa dhati kabisa kwa jinsi unavyodumisha kazi iliyoachwa wazi na MFUNYUKUZI
   hakuna ki2 hapa huyu ni mfunyukuzi tu! kabadili tu profile

  17. The Inquisitive's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 27th October 2010
   Posts : 178
   Rep Power : 601
   Likes Received
   26
   Likes Given
   9

   Default Re: MAPICHA: MTV party at Maisha club

   Quote By NILHAM RASHED View Post
   alam ya shetani hiyo najua..
   Haya mambo ya kuiga alama bila kufahamu maana yake! Niliwahi kuambiwa kuwa hii style ya kushusha suruali (al-maarufu kata-k) miaka ya nyuma ilikuwa na maana ya mwanaume shoga. Imagination yangu nilinipa picha kuwa suruali imeshushwa tayaritayari kwa... Nilicheka sana nikifikiria hawa vijana wangejua!

  18. NILHAM RASHED's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 29th November 2010
   Posts : 1,629
   Rep Power : 891
   Likes Received
   39
   Likes Given
   47

   Default Re: MAPICHA: MTV party at Maisha club

   u make me funny tax,,,,
   Quote By The Inquisitive View Post
   Haya mambo ya kuiga alama bila kufahamu maana yake! Niliwahi kuambiwa kuwa hii style ya kushusha suruali (al-maarufu kata-k) miaka ya nyuma ilikuwa na maana ya mwanaume shoga. Imagination yangu nilinipa picha kuwa suruali imeshushwa tayaritayari kwa... Nilicheka sana nikifikiria hawa vijana wangejua!

  19. Lucchese DeCavalcante's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 10th January 2009
   Location : Here in Bongoland
   Posts : 5,496
   Rep Power : 2079
   Likes Received
   607
   Likes Given
   447

   Default Re: MAPICHA: MTV party at Maisha club

   Quote By NILHAM RASHED View Post
   u make me funny tax,,,,
   Nilham nina hamu nawe ulikuwa wapi siku zote mummy hebu niPM basi
   Don't be a WOMAN that needs a man but the WOMAN a man needs  20. hashycool's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 2nd October 2010
   Location : network search....
   Posts : 5,566
   Rep Power : 1711
   Likes Received
   785
   Likes Given
   267

   Default Re: MAPICHA: MTV party at Maisha club

   Quote By el toro View Post
   nilham nina hamu nawe ulikuwa wapi siku zote mummy hebu nipm basi
   kaa mbali wewe....ohooo......unamjua pawa mabula wewe
   the safest place to hide from the police is the police station!

  21. #40
   RayB's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 27th November 2009
   Location : Jukwaa la Kikubwa
   Posts : 2,661
   Rep Power : 1146
   Likes Received
   51
   Likes Given
   5

   Default Re: MAPICHA: MTV party at Maisha club

   Wikileaks.......

   Mademu wa bongo wamekomaa hao duh
   Natale hilare et annum faustum

  Page 2 of 3 FirstFirst 123 LastLast

  Similar Topics

  1. Muswada wa maboresho ya utaratibu wa kitchen party/bag party
   By Tuko in forum Mahusiano, mapenzi, urafiki
   Replies: 11
   Last Post: 9th September 2014, 12:20
  2. Noises from New Maisha Club
   By tulawaka in forum Habari na Hoja mchanganyiko
   Replies: 22
   Last Post: 2nd August 2010, 21:01
  3. New Year Party Disaster:Night Club Fire Kills 54
   By Ab-Titchaz in forum International Forum
   Replies: 2
   Last Post: 1st January 2009, 02:24
  4. Ufunguzi wa ATWID katika mapicha
   By BAK in forum Matangazo madogo
   Replies: 1
   Last Post: 8th November 2008, 10:23

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...