Inaniuma na inasikitisha sana.Ona wanampokea kama mfalme.
Tuache kuandika humu ndani twendeni huko vijijini tukawaeleze ukweli halisi watanzania wenzetu.Muda wa mabadiliko umewadia.
pombe bwana!!
Kasi Zaidi, Ari Zaidi, na Nguvu zaidi kuwatia umaskini watanzania. Si wao wanakubali bwana, eebooo!
" Counting down on CCM downfall.
Mh! huyo mmoja aliepakizwa kwenye wheelbarrow nna mashaka sio mgonjwa,,,nimeona ameshika chupa ya KONYAGI,,, au ndio kuna dawa ya KALUMANZILA kwa ajili ya huduma ya kwanza?
Tatizo la chadema ukabila. siwaamini watu wa huko maeneo ya arusha, moshi manyara. chadema is just a company. Labda tu hope for CCJ.
lastly, soma uokoe jamii yako.
CCM Oyeee.. Kweli inauma kwa mfano unapoona US$ 15,000 (waliyojigawia kutoka kwenye kodi yetu au kuchangiwa na waliowasamehe kodi) wanatumia kumkodishia ndege yule kimbelembele kwa saa 5 tu
Du! I am speechless. inasikitisha sana
Don't wait for the Perfect Moment,
Take the Moment and make it Perfect
Inauma sana!
Be Proactive controlling a situation by causing something to happen rather than waiting to respond to it after it happens
"Maendeleo hayawezi kuletwa na mtu mmoja. awaye yeyote hawezi kuleta maendeleo akiwa yeye mwenyewe pekeyake. maendeleo ni kitendo cha jamii kubadiri hali ya maisha kutoka iliyopo sasa na kwenda iliyo bora zaidi. hivyo ni kazi ya jamii kukubari na kufanya juhudi za makusudi kujiletea maendeleo..." (Julius K. Nyerere)
Mamanalia
Kama CHADEMA ni chama cha ukabila, basi na huko Mwanza, Kagera na Mara wasingepewa ushikiano mkubwa kama ilivyotokea.
Huko Iringa na Mbeya wanamsubiri kwa hamu Slaa na wenzake, achilia mbali Lindi, Mtwara, Mbeya na Ruvuma. Kigoma ndio itakuwa kasheshe!
Bado wasema CHADEMA ni chama cha kikabila? Umetumwa?
-> Mwana wa Haki
P.S. Hizo propaganda za ukabila zimeanzishwa ili KUWATENGUA wananchi wasishikamane. Tanzania hatuna hulka ya ukabila. Au umesahau tuliyofundishwa na Baba wa Taifa? Labda Kenya bado wanao ukabila, lakini si hapa kwetu! Hoja mfu hii! You can do better than that!
Speaking Openly, without fear!
Follow Us Here