Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Kikwete on Facebook na Twitter: Tumia Fursa Hizi Adimu Kumkalia Kooni

    Report Post
    Page 1 of 2 12 LastLast
    Results 1 to 20 of 22
    1. #1
      KULIKONI UGHAIB's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 12th December 2007
      Location : United Kingdom
      Posts : 167
      Rep Power : 621
      Likes Received
      56
      Likes Given
      20

      Default Kikwete on Facebook na Twitter: Tumia Fursa Hizi Adimu Kumkalia Kooni

      Je wajua kuwa licha ya mgombea wa CCM Jakaya Kikwete kukacha mdahalo na wagombea wa vyama vingine anapatikana kirahisi mtandaoni ambapo "anauza" sera zake na "mafanikio" yake?Kama ulikuwa hufahamu basi nenda Twitter kisha tafuta @Kikwete2010 au nenda Facebook kisha tafuta Jakaya Kikwete.

      I know siasa za chama kimoja zimeacha kasumba ya kufurahia kugusana mabega na watawala.No wonder kuna wenzetu muda huu wanakenua meno yote thelathini na kitu kwa vile wamepokea ujumbe kama huu "Kikwete2010 is following you..." au "Salma Kikwete is Following you..."

      Si ajabu kuna wenzetu wamefotokopi meseji za aina hiyo wakiamini kuwa Kikwete na mkewe Salma wanawajali saaaana hadi wameamua kuwa-follow up huko Twitter au kuungana nao hapo Facebook.KALAGABAHO!Kwanini hujiulizi WHY NOW?Kikwete na mkewe walikuwa Ikulu tangu Desemba 2005 na HAWAKUKUTAFUTA.Hushangai kwanini leo wanataka urafiki nawe?Well,sio kosa kuwa rafiki na rais au mkewe lakini urafiki huu hauna tofauti na ule wa mtenda tendo la ndoa na kondomu.Zana hiyo (kondom) huwa na umuhimu wa kipekee (kwa wale wanaojali) kabla na wakati wa tendo la ndoa,lakini pindi shughuli ikimalizika kondom huwa ni uchafu usiovumilika.ANGALIA,usijetumi ka kama kondomu: Kikwete akuone muhimu sasa kwa vile anahitaji kura lakini akakusahau (kama alivyokusahau 2005-till now) baada ya kurejea Ikulu.

      Badala ya ku-retweet kila anachoandika,tumia haki yako kama Mtanzania kuhoji masuala mbalimbali yanayolikabili taifa.Twende mbali zaidi ya kupongeza na kuona sifa "kugusana mabega" na watawala.Sio kosa kushabikia lakini ushabiki wenye maana ni ule unaombatana na matumizi sahihi ya akili.

      Now you know-in case you didn't.Muulize Kikwete,je ile kauli aliyotoa mwaka 2006 kuwa anawafahamu wala rushwa kwa majina ila anawapa muda wa kujirekebisha imefikia wapi?Je wameshajirekebisha?Je anaweza kututajia majina ya waliojirekebisha na waliogoma kufuata ombi hilo la kichovu?

      Muulize pia kwamba kabla ya sakata la Richmond aliahidi kuwa tatizo la umeme lingebaki kuwa historia.A few months later,matapeli wa Richmond wakaingia kwenye picha.Today,tatizo la umeme ni as sugu as ufisadi.Mkalie kooni na kumhoji,kama huko nyuma alitoa ahadi ya kutupatia ufumbuzi wa umeme na hakutimiza,kwanini tumwamini sasa?

      Muulizie pia kama bado anaamini kuwa mimba za wanafunzi wa kike zinasababishwa na kimbelembele chao.Yah,muulize swali hilo kwa vile hadi sasa bado hajakanusha au kuwaomba msamaha Watanzania kwa kauli hiyo ya kizembe.

      Usikose kumuuliza pia kama hadi sasa hajui sababu zinazoifanya Tanzania kuwa masikini maana alinukuliwa akijiuliza swali hilo.Nenda mbali kidogo na kumhoji kama alikuwa hajua kwanini Tanzania ni masikini sasa anafanya nini hapo Ikulu?

      Sasa hivi amenzisha hash tag #Mafanikio huko Twitter.Hapo utapata nafasi nzuri ya kujionea waziwazi namna Awamu ya Nne ya Kikwete ilivyoshindwa kuikomboa Tanzania kutoka kwenye umasikini licha ya raslimali lukuki tulizonazo.Hapo Kikwete na wapambe wake wanataja mapato yaliyotokana na utalii na madini.Mkalie kooni na kumhoji kama mapato ndio hayo,kwanini sie bado masikini?Fedha hizo zimeenda wapi kama sio kwenye akaunti za mafisadi?Na kwenye utalii muulize pia kuhusu meno ya tembo yaliyokamatwa huko Hong Kong yakitokea Tanzania.

      Kumbuka,usikubali kutumika kwa maslahi ya mtu mwingine.Kumhoji mwanasiasa anayeomba kukuongoza ni haki yako.Usiichezee.Badala ya kujipendekeza kwa RT (Retweets za Kikwete2010) tumia fursa hiyo kumuuliza maswali ya msingi yanayohitaji majibu ya haraka

      PAMOJA,INAWEZEKANA

      KULIKONI UGHAIBUNI: Kikwete on Twitter na Facebook: Tumia Fursa Hizi Kumkalia Kooni
      http://about.me/chahali

    2. #2
      Kibunango's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th August 2006
      Location : Tampere
      Posts : 6,820
      Rep Power : 44138
      Likes Received
      375
      Likes Given
      1450

      Default Re: Kikwete on Facebook na Twitter: Tumia Fursa Hizi Adimu Kumkalia Kooni

      Haaaaa haaa haaaa! Unadhani Kikwete ana muda wa kutweet or kuupdate status yake FB?
      Save Water Drink Beer. "Alcohol doesn't solve any problem,
      But, if you think again, neither does milk."
      Vituko Vya Zenj

    3. #3
      KULIKONI UGHAIB's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 12th December 2007
      Location : United Kingdom
      Posts : 167
      Rep Power : 621
      Likes Received
      56
      Likes Given
      20

      Default Re: Kikwete on Facebook na Twitter: Tumia Fursa Hizi Adimu Kumkalia Kooni

      Quote By Kibunango View Post

      Why dont you just go there and see for yourself?Whether it's him or wapambe wake,challenging him/them is the right thing to do.So sick and tired of incomprehensible statistics.
      http://about.me/chahali

    4. #4
      Kibunango's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th August 2006
      Location : Tampere
      Posts : 6,820
      Rep Power : 44138
      Likes Received
      375
      Likes Given
      1450

      Default Re: Kikwete on Facebook na Twitter: Tumia Fursa Hizi Adimu Kumkalia Kooni

      Quote By KULIKONI UGHAIB View Post
      So sick and tired of incomprehensible statistics.
      Bora umblock kama hutaki kusoma hizo incomprehensible statistics
      Save Water Drink Beer. "Alcohol doesn't solve any problem,
      But, if you think again, neither does milk."
      Vituko Vya Zenj

    5. #5
      Mwanamayu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 7th May 2010
      Location : Manzese
      Posts : 3,049
      Rep Power : 1072
      Likes Received
      240
      Likes Given
      112

      Anaiga mbinu ya Obama! US na TZ katika ICTs advancement ni tofauti kabisa! Hivi watanzania walio nje ya nchi wanapiga kura?

    6. #6
      Kibunango's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th August 2006
      Location : Tampere
      Posts : 6,820
      Rep Power : 44138
      Likes Received
      375
      Likes Given
      1450

      Default Re: Kikwete on Facebook na Twitter: Tumia Fursa Hizi Adimu Kumkalia Kooni

      ^^ Ulikuwa na umuhimu gani wa kukoti mkeka wote mzima kwa sentensi tatu tu?
      Save Water Drink Beer. "Alcohol doesn't solve any problem,
      But, if you think again, neither does milk."
      Vituko Vya Zenj

    7. #7
      Msanii's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 4th July 2007
      Posts : 6,216
      Rep Power : 1932
      Likes Received
      218
      Likes Given
      277

      Default Re: Kikwete on Facebook na Twitter: Tumia Fursa Hizi Adimu Kumkalia Kooni

      Kibunango aminia mkuu
      Nashukuru kwa hoja za mtoa hoja.
      nilimsearch kikwete kwenye FB na akakubali fasta kuwa pal wangu. pamoja na slaa. Ila ninachoona ni kwamba slaa yupo more active zaidi ya mkulu ambaye anasubiri kupostiwa na MAKAMBA au SALVA.
      Kwa taarifa ya jukwaa, hata iweje hana muda wa kutwitter wala FB mkulu huyu na sidhani kama anajua nani kasema nini kwenye wall yake ya fb.
      MWACHE AENDE
      " If you hear a voice within you say "you cannot paint", then by all means paint, and that voice will be silenced"
      [email protected]

    8. #8
      KULIKONI UGHAIB's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 12th December 2007
      Location : United Kingdom
      Posts : 167
      Rep Power : 621
      Likes Received
      56
      Likes Given
      20

      Default Re: Kikwete on Facebook na Twitter: Tumia Fursa Hizi Adimu Kumkalia Kooni

      Quote By Kibunango View Post
      Bora umblock kama hutaki kusoma hizo incomprehensible statistics
      Inaweza kuwa sahihi kwa mtizamo wako.Binadamu tunatofautiana katika kutafuta ufumbuzi au kukabiliana na uzushi.

      Kwa taarifa yako,I do not follow him,he follows me (and I'm not proud of that).Kum-block kutaninyima fursa ya kusikiza uzushi wake,Kumbuka,ili uweze kujibu hoja mbovu ni lazima uvumilie kuzisikia au kuzisoma.Ukizikwepa utakuwa unampa free pass mtoa hoja mbovu.
      http://about.me/chahali

    9. #9
      Beauty's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 6th February 2008
      Posts : 538
      Rep Power : 687
      Likes Received
      5
      Likes Given
      5

      Default Re: Kikwete on Facebook na Twitter: Tumia Fursa Hizi Adimu Kumkalia Kooni

      Quote By Kibunango View Post
      Haaaaa haaa haaaa! Unadhani Kikwete ana muda wa kutweet or kuupdate status yake FB?
      Yeye hana muda huo lakini chochote utakachotuma atapata kupitia makarani wake na msg atapata iwe mbaya au nzuri.

    10. #10
      Sir R's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 23rd October 2009
      Location : Moshi
      Posts : 1,144
      Rep Power : 719
      Likes Received
      101
      Likes Given
      24

      Default Re: Kikwete on Facebook na Twitter: Tumia Fursa Hizi Adimu Kumkalia Kooni

      JK hawezi kujibu maswali nitakayomuliza, kama anashindwa kujibu swali la kwanini Tz ni maskini? Tutegemee nini tena?
      Umaskini wa Tanzania ni Matokeo ya Akili ndogo kuongoza Nchi

    11. #11
      MAWANI's Avatar
      Member Array
      Join Date : 12th May 2009
      Posts : 71
      Rep Power : 529
      Likes Received
      0
      Likes Given
      0

      Default Re: Kikwete on Facebook na Twitter: Tumia Fursa Hizi Adimu Kumkalia Kooni

      Mimi nimeona na mwenzangu ameisha ingiza swali na mba moja. Ameorodhesha mafanikio tu, swali ni kuwa yaliyomshinda katika miaka mitano ni yapi?
      TANZANIA ITAKOMBOLEWA MIKONONI MWA MAFISADI NA WATANZANIA WENYE UCHUNGU NA NCHI HII

    12. #12
      Mimibaba's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 1st July 2009
      Posts : 3,351
      Rep Power : 1572
      Likes Received
      813
      Likes Given
      622

      Default Re: Kikwete on Facebook na Twitter: Tumia Fursa Hizi Adimu Kumkalia Kooni

      Quote By KULIKONI UGHAIB View Post
      Je wajua kuwa licha ya mgombea wa CCM Jakaya Kikwete kukacha mdahalo na wagombea wa vyama vingine anapatikana kirahisi mtandaoni ambapo "anauza" sera zake na "mafanikio" yake?Kama ulikuwa hufahamu basi nenda Twitter kisha tafuta @Kikwete2010 au nenda Facebook kisha tafuta Jakaya Kikwete.

      I know siasa za chama kimoja zimeacha kasumba ya kufurahia kugusana mabega na watawala.No wonder kuna wenzetu muda huu wanakenua meno yote thelathini na kitu kwa vile wamepokea ujumbe kama huu "Kikwete2010 is following you..." au "Salma Kikwete is Following you..."

      Si ajabu kuna wenzetu wamefotokopi meseji za aina hiyo wakiamini kuwa Kikwete na mkewe Salma wanawajali saaaana hadi wameamua kuwa-follow up huko Twitter au kuungana nao hapo Facebook.KALAGABAHO!Kwanini hujiulizi WHY NOW?Kikwete na mkewe walikuwa Ikulu tangu Desemba 2005 na HAWAKUKUTAFUTA.Hushangai kwanini leo wanataka urafiki nawe?Well,sio kosa kuwa rafiki na rais au mkewe lakini urafiki huu hauna tofauti na ule wa mtenda tendo la ndoa na kondomu.Zana hiyo (kondom) huwa na umuhimu wa kipekee (kwa wale wanaojali) kabla na wakati wa tendo la ndoa,lakini pindi shughuli ikimalizika kondom huwa ni uchafu usiovumilika.ANGALIA,usijetumi ka kama kondomu: Kikwete akuone muhimu sasa kwa vile anahitaji kura lakini akakusahau (kama alivyokusahau 2005-till now) baada ya kurejea Ikulu.

      Badala ya ku-retweet kila anachoandika,tumia haki yako kama Mtanzania kuhoji masuala mbalimbali yanayolikabili taifa.Twende mbali zaidi ya kupongeza na kuona sifa "kugusana mabega" na watawala.Sio kosa kushabikia lakini ushabiki wenye maana ni ule unaombatana na matumizi sahihi ya akili.

      Now you know-in case you didn't.Muulize Kikwete,je ile kauli aliyotoa mwaka 2006 kuwa anawafahamu wala rushwa kwa majina ila anawapa muda wa kujirekebisha imefikia wapi?Je wameshajirekebisha?Je anaweza kututajia majina ya waliojirekebisha na waliogoma kufuata ombi hilo la kichovu?

      Muulize pia kwamba kabla ya sakata la Richmond aliahidi kuwa tatizo la umeme lingebaki kuwa historia.A few months later,matapeli wa Richmond wakaingia kwenye picha.Today,tatizo la umeme ni as sugu as ufisadi.Mkalie kooni na kumhoji,kama huko nyuma alitoa ahadi ya kutupatia ufumbuzi wa umeme na hakutimiza,kwanini tumwamini sasa?

      Muulizie pia kama bado anaamini kuwa mimba za wanafunzi wa kike zinasababishwa na kimbelembele chao.Yah,muulize swali hilo kwa vile hadi sasa bado hajakanusha au kuwaomba msamaha Watanzania kwa kauli hiyo ya kizembe.

      Usikose kumuuliza pia kama hadi sasa hajui sababu zinazoifanya Tanzania kuwa masikini maana alinukuliwa akijiuliza swali hilo.Nenda mbali kidogo na kumhoji kama alikuwa hajua kwanini Tanzania ni masikini sasa anafanya nini hapo Ikulu?

      Sasa hivi amenzisha hash tag #Mafanikio huko Twitter.Hapo utapata nafasi nzuri ya kujionea waziwazi namna Awamu ya Nne ya Kikwete ilivyoshindwa kuikomboa Tanzania kutoka kwenye umasikini licha ya raslimali lukuki tulizonazo.Hapo Kikwete na wapambe wake wanataja mapato yaliyotokana na utalii na madini.Mkalie kooni na kumhoji kama mapato ndio hayo,kwanini sie bado masikini?Fedha hizo zimeenda wapi kama sio kwenye akaunti za mafisadi?Na kwenye utalii muulize pia kuhusu meno ya tembo yaliyokamatwa huko Hong Kong yakitokea Tanzania.

      Kumbuka,usikubali kutumika kwa maslahi ya mtu mwingine.Kumhoji mwanasiasa anayeomba kukuongoza ni haki yako.Usiichezee.Badala ya kujipendekeza kwa RT (Retweets za Kikwete2010) tumia fursa hiyo kumuuliza maswali ya msingi yanayohitaji majibu ya haraka

      PAMOJA,INAWEZEKANA

      KULIKONI UGHAIBUNI: Kikwete on Twitter na Facebook: Tumia Fursa Hizi Kumkalia Kooni
      Sawa ila filtering ni ya kipumbavu Haina Tija sorry

    13. #13
      Mimibaba's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 1st July 2009
      Posts : 3,351
      Rep Power : 1572
      Likes Received
      813
      Likes Given
      622

      Default Re: Kikwete on Facebook na Twitter: Tumia Fursa Hizi Adimu Kumkalia Kooni

      Quote By Butterfly View Post
      Yeye hana muda huo lakini chochote utakachotuma atapata kupitia makarani wake na msg atapata iwe mbaya au nzuri.
      Sio kweli. Labda atakujibu wewe mimi hataki kunijibu

    14. #14
      NasDaz's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 6th May 2009
      Location : Ushenzini
      Posts : 3,347
      Rep Power : 5406
      Likes Received
      1574
      Likes Given
      1876

      Default Re: Kikwete on Facebook na Twitter: Tumia Fursa Hizi Adimu Kumkalia Kooni

      Quote By kulikoni ughaib View Post
      je wajua kuwa licha ya mgombea wa ccm jakaya kikwete kukacha mdahalo na wagombea wa vyama vingine anapatikana kirahisi mtandaoni ambapo "anauza" sera zake na "mafanikio" yake?kama ulikuwa hufahamu basi nenda twitter kisha tafuta @kikwete2010 au nenda facebook kisha tafuta jakaya kikwete.

      I know siasa za chama kimoja zimeacha kasumba ya kufurahia kugusana mabega na watawala.no wonder kuna wenzetu muda huu wanakenua meno yote thelathini na kitu kwa vile wamepokea ujumbe kama huu "kikwete2010 is following you..." au "salma kikwete is following you..."

      si ajabu kuna wenzetu wamefotokopi meseji za aina hiyo wakiamini kuwa kikwete na mkewe salma wanawajali saaaana hadi wameamua kuwa-follow up huko twitter au kuungana nao hapo facebook.kalagabaho!kwanini hujiulizi why now?kikwete na mkewe walikuwa ikulu tangu desemba 2005 na hawakukutafuta.hushangai kwanini leo wanataka urafiki nawe?well,sio kosa kuwa rafiki na rais au mkewe lakini urafiki huu hauna tofauti na ule wa mtenda tendo la ndoa na kondomu.zana hiyo (kondom) huwa na umuhimu wa kipekee (kwa wale wanaojali) kabla na wakati wa tendo la ndoa,lakini pindi shughuli ikimalizika kondom huwa ni uchafu usiovumilika.angalia,usijetumi ka kama kondomu: Kikwete akuone muhimu sasa kwa vile anahitaji kura lakini akakusahau (kama alivyokusahau 2005-till now) baada ya kurejea ikulu.

      Badala ya ku-retweet kila anachoandika,tumia haki yako kama mtanzania kuhoji masuala mbalimbali yanayolikabili taifa.twende mbali zaidi ya kupongeza na kuona sifa "kugusana mabega" na watawala.sio kosa kushabikia lakini ushabiki wenye maana ni ule unaombatana na matumizi sahihi ya akili.

      Now you know-in case you didn't.muulize kikwete,je ile kauli aliyotoa mwaka 2006 kuwa anawafahamu wala rushwa kwa majina ila anawapa muda wa kujirekebisha imefikia wapi?je wameshajirekebisha?je anaweza kututajia majina ya waliojirekebisha na waliogoma kufuata ombi hilo la kichovu?

      Muulize pia kwamba kabla ya sakata la richmond aliahidi kuwa tatizo la umeme lingebaki kuwa historia.a few months later,matapeli wa richmond wakaingia kwenye picha.today,tatizo la umeme ni as sugu as ufisadi.mkalie kooni na kumhoji,kama huko nyuma alitoa ahadi ya kutupatia ufumbuzi wa umeme na hakutimiza,kwanini tumwamini sasa?

      Muulizie pia kama bado anaamini kuwa mimba za wanafunzi wa kike zinasababishwa na kimbelembele chao.yah,muulize swali hilo kwa vile hadi sasa bado hajakanusha au kuwaomba msamaha watanzania kwa kauli hiyo ya kizembe.

      Usikose kumuuliza pia kama hadi sasa hajui sababu zinazoifanya tanzania kuwa masikini maana alinukuliwa akijiuliza swali hilo.nenda mbali kidogo na kumhoji kama alikuwa hajua kwanini tanzania ni masikini sasa anafanya nini hapo ikulu?

      Sasa hivi amenzisha hash tag #mafanikio huko twitter.hapo utapata nafasi nzuri ya kujionea waziwazi namna awamu ya nne ya kikwete ilivyoshindwa kuikomboa tanzania kutoka kwenye umasikini licha ya raslimali lukuki tulizonazo.hapo kikwete na wapambe wake wanataja mapato yaliyotokana na utalii na madini.mkalie kooni na kumhoji kama mapato ndio hayo,kwanini sie bado masikini?fedha hizo zimeenda wapi kama sio kwenye akaunti za mafisadi?na kwenye utalii muulize pia kuhusu meno ya tembo yaliyokamatwa huko hong kong yakitokea tanzania.

      Kumbuka,usikubali kutumika kwa maslahi ya mtu mwingine.kumhoji mwanasiasa anayeomba kukuongoza ni haki yako.usiichezee.badala ya kujipendekeza kwa rt (retweets za kikwete2010) tumia fursa hiyo kumuuliza maswali ya msingi yanayohitaji majibu ya haraka

      pamoja,inawezekana

      kulikoni ughaibuni: Kikwete on twitter na facebook: Tumia fursa hizi kumkalia kooni
      kwanini uwapangie watu maswali ya kumuuliza jk?! Ina maana wanaohudhuria humu wote ni mbumbumbu wasiojuwa matatizo ya wa-tz isipokuwa wewe?! Wewe baada ya kuuliza si ulishapewa majibu? Kwanini usi-copy na kuya-paste hapa kwa faida ya wale unaoona hawana uwezo wa kuuliza maswali yenye tija?

    15. #15
      ELNIN0's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 26th November 2009
      Posts : 2,527
      Rep Power : 991
      Likes Received
      253
      Likes Given
      50

      Default Re: Kikwete on Facebook na Twitter: Tumia Fursa Hizi Adimu Kumkalia Kooni

    16. #16
      Jile79's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 28th May 2009
      Posts : 3,860
      Rep Power : 1288
      Likes Received
      227
      Likes Given
      9

      Default Re: Kikwete on Facebook na Twitter: Tumia Fursa Hizi Adimu Kumkalia Kooni

      kwa nini anakimbia mdaharo.........anajua yeye dhaifu na amezoea kuwadanganya watu hasa watz..............na huko kwenye twiter na face book kwa taarifa yenu hajibu yeye anajibiwa na wapambe wake.........
      Mvumilivu hula mbivu... Ila mvundika mbivu hula mbovu

    17. #17
      ELNIN0's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 26th November 2009
      Posts : 2,527
      Rep Power : 991
      Likes Received
      253
      Likes Given
      50

      Default Re: Kikwete on Facebook na Twitter: Tumia Fursa Hizi Adimu Kumkalia Kooni

      Quote By Jile79 View Post
      kwa nini anakimbia mdaharo.........anajua yeye dhaifu na amezoea kuwadanganya watu hasa watz..............na huko kwenye twiter na face book kwa taarifa yenu hajibu yeye anajibiwa na wapambe wake.........
      wapiga kura wangapi wanajua hata maana ya facebook ni nini? sisi tunataka yeye mwenyewe akae kitini na wagombea wenzake wapimane kwa hoja. tunataka Rais kwenye uwezo wa kuchanganua hoja na kutoa majibu juu ya umaskini wa taifa letu na si facebook. (kitabu cha Sura)

    18. #18
      pascaldaudi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 25th March 2009
      Posts : 535
      Rep Power : 628
      Likes Received
      91
      Likes Given
      134

      Default Hivi kweli???

      "BY FOCUSING ON WHAT DIVIDES US, WE MAY ACT IN ERROR AS WE FAIL TO SEE WHAT UNITES US"

    19. #19
      njiwa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 16th April 2009
      Location : ax^2+bx+c=0
      Posts : 5,190
      Rep Power : 2419
      Likes Received
      997
      Likes Given
      173

      Default Re: Kikwete on Facebook na Twitter: Tumia Fursa Hizi Adimu Kumkalia Kooni

      hoja nyingine bana amnazo Raisi wa nchi eti ana tweet or kuupdate status! kawadanganye wengine! unless uniambie kuna mtu anafanya mbadala wake
      Pure Matrimony >> Purity starts here (Quran 24:26)
      My loyalty is to reason,and as a reasonable person I reserve the right to change my mind when presented with new information that alters my perspective" Njiwa"ᵀᴴᴱ'ᴼᴿᴵᴳᴵᴻᴬᴸ✯

    20. #20
      Gama's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 9th January 2010
      Posts : 4,620
      Rep Power : 1372
      Likes Received
      435
      Likes Given
      717

      Default

      Quote By KULIKONI UGHAIB View Post
      Inaweza kuwa sahihi kwa mtizamo wako.Binadamu tunatofautiana katika kutafuta ufumbuzi au kukabiliana na uzushi.

      Kwa taarifa yako,I do not follow him,he follows me (and I'm not proud of that).Kum-block kutaninyima fursa ya kusikiza uzushi wake,Kumbuka,ili uweze kujibu hoja mbovu ni lazima uvumilie kuzisikia au kuzisoma.Ukizikwepa utakuwa unampa free pass mtoa hoja mbovu.
      asanteni nyote mliochangia hoja hii,nami naingia fb kumsaka, akishobokea atajuta. Nitawapasha kilichojiri. Nawaombeni wana jf waliopata kujibiwa hoja yoyote na huyu mkuku watujuze.

    Page 1 of 2 12 LastLast

    Similar Topics

    1. Mama Salma Kikwete's Facebook and Twitter accounts hacked?
      By EMT in forum Tech, Gadgets & Science Forum
      Replies: 67
      Last Post: 6th December 2011, 02:51
    2. Leo sijatembelea Facebook wala Twitter!!
      By Ng`wanakidiku in forum JF Chit-Chat
      Replies: 6
      Last Post: 20th October 2011, 11:16
    3. Viongozi wa dini wazidi kumkalia kooni Mkulo
      By idumu in forum Jukwaa la Siasa
      Replies: 2
      Last Post: 15th June 2009, 11:15
    4. Twitter vs facebook
      By Mambo Jambo in forum Habari na Hoja mchanganyiko
      Replies: 3
      Last Post: 1st June 2009, 19:21

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...