Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Karume anawambia nn shein na seif baada ya swala ya eid ?

    Report Post
    Results 1 to 6 of 6
    1. #1
      Mtu wa Pwani's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 26th December 2006
      Posts : 4,250
      Rep Power : 1491
      Likes Received
      159
      Likes Given
      152

      Default Karume anawambia nn shein na seif baada ya swala ya eid ?

      hii nimeikuta kwa michuzi nikawa nnajiuliza hapa anawaaasa kuhusu kuanza kwa kampeni kuwa waanze za kistaarabu, au anawaambia jamani msikubali nchi yenu kurudi tena kwenye mifarakano au nn ?
      Our job is not to make up anybody's mind, but to open minds and to make the agony of the decision-making so intense you can escape only by thinking. ~Author Unknown

    2. RukaaJuu Final

    3. #2
      Kigogo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 14th December 2007
      Location : Calabash
      Posts : 8,201
      Rep Power : 2096
      Likes Received
      1234
      Likes Given
      313

      Default Re: Karume anawambia nn shein na seif baada ya swala ya eid ?

      Yeye alishindwaje kuzuia hiyo mifarakano Leo awaase wenzie juu ya hilo....
      ______________________________ _
      Niko tayari kufa huku nimesimama kuliko kuishi huku nimepiga magoti....

    4. #3
      Mtu wa Pwani's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 26th December 2006
      Posts : 4,250
      Rep Power : 1491
      Likes Received
      159
      Likes Given
      152

      Default Re: Karume anawambia nn shein na seif baada ya swala ya eid ?

      na hapa naona utani umezidi wanazidi kukata mbavu,

      jee kwenye kampeni zao mambo yataendelea kuwa hivi ?

      Our job is not to make up anybody's mind, but to open minds and to make the agony of the decision-making so intense you can escape only by thinking. ~Author Unknown

    5. #4
      Junius's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th March 2009
      Posts : 3,117
      Rep Power : 1143
      Likes Received
      47
      Likes Given
      12

      Default Re: Karume anawambia nn shein na seif baada ya swala ya eid ?

      Mtu wa pwani, Karume anakumbusha kitu hapa( ujuwe hao ni rais na makamo wa rais watarajiwa) kuwa Zanzibar tusirudi nyuma mpaka kieleweke.
      HAKI SAWA KWA WOTE

      If you don't up set at least one person, you are not doing it right (whatever "it" might be).

      [email protected]

    6. #5
      BinMgen's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 18th June 2008
      Posts : 1,484
      Rep Power : 854
      Likes Received
      110
      Likes Given
      229

      Default Re: Karume anawambia nn shein na seif baada ya swala ya eid ?

      mi nazani anawambia msikubali, WaTaNGANYIKA kuitawala NCHI YETU YA ZANZIBAR kwa kisingizio cha Muungano, kama noma na iwe noma mpaka kieleweke
      Life is too short don't wait



    7. Miaka 50

    8. #6
      Spear's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 21st June 2008
      Posts : 513
      Rep Power : 658
      Likes Received
      13
      Likes Given
      0

      Default Re: Karume anawambia nn shein na seif baada ya swala ya eid ?

      Anawaeleza kuhusu athari za Mchwana na Panya .Mchwa anagusha Mjengo , panya hukutafuna (hukungaka)unapokuwa usingizini huku anakupuliza.

    Similar Topics

    1. Usiri wa Maalim Seif, Karume Jr.
      By The Prophet in forum Jukwaa la Siasa
      Replies: 7
      Last Post: 28th April 2011, 11:57
    2. Dk shein,seif iddi,maalim seif fanyeni uchunguzi wizi huu
      By MzeeWaHoja in forum Habari na Hoja mchanganyiko
      Replies: 1
      Last Post: 10th April 2011, 11:08
    3. Seif kuapishwa na Shein
      By muchetz in forum Tanzania 2010-2015
      Replies: 11
      Last Post: 13th November 2010, 09:45
    4. Shein/Seif/Karume wataweza kuhimili mikiki ya CCM Bara?
      By Konde in forum Tanzania 2010-2015
      Replies: 1
      Last Post: 6th November 2010, 10:54
    5. Replies: 3
      Last Post: 21st July 2009, 22:22

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...