Only Do What Your Heart Tells You
Allah Has Not Revealed A Disease without Treatment.... (Prevention is Better Than Cure) Email Address yangu hii [email protected]
"http://dc09.arabsh.com/i/01359/iyumodyd16le.jpg" border="0" alt="" />style="display:none;visibility:hidden;" data-cfsrc="http://dc07.arabsh.com/i/01359/bt9aacmuto30.jpg" border="0" alt="" />
Only Do What Your Heart Tells You
Allah Has Not Revealed A Disease without Treatment.... (Prevention is Better Than Cure) Email Address yangu hii [email protected]
saaaaaaaaafi sana
Hakika zinapendeza na tena zinavutia.Ila hizo za mlima kilimanjaro mbona zinatisha? au zimepigwa na kamera ya kichina?
Mambo mtakayo yaona katika picha hizi hayapatikani ila katika baadhi ya inchi fulani tu,
Nchini India tu...
Aiseeeeeeee
Nchini Pakistani tu...
Nchini Bangladesh tu..
Nchini Japan tu..
Nchini Indonesia tu..
Nchini Thailand tu..
Texas tu..
Nategemea kuwa picha hizi zimewaajabisha. *_^
Shukran Wa baarakallahu fiik na salaam nyingi kutoka kwangu
Only Do What Your Heart Tells You
Allah Has Not Revealed A Disease without Treatment.... (Prevention is Better Than Cure) Email Address yangu hii [email protected]
Only Do What Your Heart Tells You
Allah Has Not Revealed A Disease without Treatment.... (Prevention is Better Than Cure) Email Address yangu hii [email protected]
Only Do What Your Heart Tells You
Allah Has Not Revealed A Disease without Treatment.... (Prevention is Better Than Cure) Email Address yangu hii [email protected]
Am speechless!! The pictures are so amazing and breath taking... Hivi zote ni za kweli kabisa? (just curious)
Only Do What Your Heart Tells You
Allah Has Not Revealed A Disease without Treatment.... (Prevention is Better Than Cure) Email Address yangu hii [email protected]
Raisi (Sultan wa Brunei) tajiri kuliko wote duniani
Unazidi Utajiri wa Sultan wa Brunei 90 euro kila sekunde
sultan wa brunei Mohammad hassan Bolkiah raisi tajiri kuliko maraisi wote duniani, Maarufu kwa utumiaji wa dhahabu kwa kila kitu, hali ila na vijiko vya dhahabu, na nguo anazo vaa zimepambwa kwa dhahabu na fedha
Hizi ni baadhi ya palace zake, zinajulikana kuwa ni palace za kifaghari kuliko zote duniani zilizo pambwa kwa almasi 1788. vyoo vyake zimepambwa kwa dhahabu na fedha 257. Car park yake inatosha kupaki gari 110, Palace yake inazo picha 650 zilizo wekwa katika frame, frame ya rahisi kabisa katika frame hizo ni 150.000 Euro
Ndege ya Sultan wa Brunei
Ndege hii ni kubwa duniani ilio pambwa kwa dhahabu, Sultan huyu anamiliki pia ndege aina ya Boing 747 thamani yake milion 100 dolla ilio tengenezwa kwa ndani kwa thamani inao zidi milioni 120 dolla, ina vyoo na vyumba vya dhahabu, pia anamiliki ndege ndogo sita na helicopta moja.
.
.
.
Gari ya mtoto wa Sultan wa Brunei
Imetengenezwa na rose rise co. kwa special order kutoka kwa Sultan, gari hii ina shape ya rose rise ilio changanyikana na ya porsche, gari hii ipo London anaitumia akiwa huko London tu.
Arusi ya mtoto wa Sultan wa Brunei ilio fanyika kwa muda wa siku 14 kwa gharama ya 5 milion dolla, ilio hudhuriwa na zaidi ya maraisi 25.
Gari ya Raisi wa Brunei ilio pambwa kwa dhahabu
Amira amevaa kichwani mwake taji ya almasi
Haya yalio andikwa katika wikipedia
wanasema Sultan huyu anamiliki
531 mercedes Benz
367 ferrari
362 Yabntal
185 BMW
177 jaguar
160 porsche
130 Rose rise
Na
20 lamborghini
Jumla za gari zake ni 1932
Ehh Duniani kuna Mambo Mwenyeezi Mungu amzidishie kila la kheri huyu Sultan wa brunei naampe moyo waimani wa kutusaidia sisi Maskini Wa Ki Tanzania Walala Hoi Ameen
Only Do What Your Heart Tells You
Allah Has Not Revealed A Disease without Treatment.... (Prevention is Better Than Cure) Email Address yangu hii [email protected]
Bomba kishenzi.
Jabali (Mlima) la ajabu
تــــأملوا في قدرةِ الله سبحآنهُـ وتعالى ..
وأنظروا صنيعَهُـ وخلقهُـ ..
Nawaacha na picha
سبحان الخالق لا اله الا الله خلق فابدع سبحانه
تحياتي لكم ..\
..
Only Do What Your Heart Tells You
Allah Has Not Revealed A Disease without Treatment.... (Prevention is Better Than Cure) Email Address yangu hii [email protected]
ما أعظم قدرة الله بحر يتحول إلى صحراء
بحر أرال بجمهورية كازخستان
هو بحر داخلي يقع في آسيا الوسطى، عرفه جغرافيو العرب ببحر خوارزم مقسّم ما بين كازخستان شمالا وأوزبكستان جنوبا
•
كانت مساحته تغطي 68,000 كم مربع. أقصى عمق فيه68م تفصله هضبة أوست أورت وتتصل به صحاري كيزبل كوم وكاراكوم الرملية. يصب فيه نهران سيردريا وأمودريا وفيه جزر كثيرة. ويسكن بجواره بعض رعاة الماشية ،كما يستخرج الملح منه وفيه مصائد للسمك لإنتاج الكافيار.
قررت الحكومة الروسية في 1918 بقيادة فلاديمير لينين والبلشفيون تحويل اثنين من الأنهار التي تغذي بحر الارال ، في شمال شرقي البلاد، ليتم محاولة ري الصحاري ، من اجل زراعة الأرز، البطيخ، والحبوب، وأيضا، القطن؛ وكان ذلك جزءا من خطة لزراعة القطن، أو "الذهب الأبيض" للتصدير .
وأوزبكستان هي اليوم واحدة من أكبر الدول المصدرة للقطن.فبدأ البحر بالجفاف اعتبارا من1970 وقد بدأت تنقص مساحته تدريجيا إلى ان أصبح عام 1996 يغطي نسبة قليلة من المناطق الحدودية التي كان فيها مما جعلت الدول المطله عليه تتخذ منه حدود برية.
الآن مع الصور
Jinsi nguvu kubwa ya Mwenyeezi Mungu bahari inarudi kuwa ni jangwa
Aral Sea, Jamhuri ya Kazakhstan
Ni bahari bara iko katika Asia ya Kati, Kiarabu Bahari Jgeravio algorithm inayojulikana imegawanywa kati ya Kazakhstan na Uzbekistan, kaskazini kusini
•
inashughulikia eneo la 68.000 km za mraba. Upeo wa kina cha m 68 na kutenganisha Plateau Ust Oort na kushikamana na majangwa ya com Karakum Kizbil na mchanga. Fed na mito miwili na Srdraa Amodria na visiwa vyake vingi. Na kuishi karibu na baadhi ya wafugaji mifugo, na chumvi ni kuondolewa na mitego ya samaki kwa ajili ya uzalishaji wa caviar.
Serikali ya Urusi na uamuzi 1918, wakiongozwa na Vladimir Lenin na Bolsheviks kubadilisha mbili ya mito ambayo kulisha Bahari ya Aral, katika kaskazini-mashariki ya nchi, ni kujaribu kumwagilia Maji jangwa, ili kukuza mchele tikiti,, nafaka, na pia, pamba, na kwamba ni sehemu ya mpango wa kilimo cha pamba, au "dhahabu nyeupe" kwa ajili ya kuuza nje.
Na Uzbekistan ni leo moja ya muuzaji mkubwa wa pamba ilianza kama ukame bahari ya mwaka 1970 ina hatua kwa hatua ilianza kupungua na kuwa katika eneo 1996 inashughulikia asilimia ndogo ya maeneo ya mipakani ambapo ilikuwa hivyo yaliyotolewa na mataifa ya pwani kupeleka kwenye ardhi mipaka.
Only Do What Your Heart Tells You
Allah Has Not Revealed A Disease without Treatment.... (Prevention is Better Than Cure) Email Address yangu hii [email protected]
amazing ,stunning , beauty, shocking .... etc..
life goes on.....
im just wowed! ila hiyo ya treni yenye kichwa kama cha mbwa ni photoshop banaa!
Naanza ku organize next holiday ..
sante MziziM
life goes on.....
Picha za maajabu. Allah Akbar.
Kisha huyo mwanawe kaolewa na jamaa wa kawaida tu, nadhani ni mwalimu
hali ikiendelea kua kama inavoonekama pichani basi watalii hawataenda tena kilimanjaro kwa sababu ice inaisha
Sura ya nchi na uoto wa asili. Nice!
This is a Man’s world. Man, man, But it will be nothing without a Woman on it!
Follow Us Here