JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Picha iliyonihuzunisha mtot wa kiume wa ki syria alala kwenye makaburi ya wazazi wake

  Report Post
  Results 1 to 9 of 9
  1. MziziMkavu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd February 2009
   Location : European Union
   Posts : 36,468
   Rep Power : 429504378
   Likes Received
   22041
   Likes Given
   68192

   Unhappy Picha iliyonihuzunisha mtot wa kiume wa ki syria alala kwenye makaburi ya wazazi wake   Mtoto wa kiume wa ki Syria aamuwa kulal karibu na Makaburi ya wazazi wake wawili

   Baba na Mama waliouawa na Serikali ya Rais Dikteta Bashar Asad Syria ewe

   Mwenyeezi Mungu waokowe watoto wa Ki-Syria ameen.


   A Heart Breaking image of the Syrian boy sleeping between the graves of his parents murdered by Bashaar.
   Only Do What Your Heart Tells You

   Allah
   Has Not Revealed A Disease without Treatment....(''LET FOOD BE THY MEDICINE AND MEDICINE BE THY FOOD'')


  2. farkhina's Avatar
   JF Platinum Member Array
   Join Date : 14th March 2012
   Location : Toronto,CANADA
   Posts : 12,159
   Rep Power : 429499354
   Likes Received
   9012
   Likes Given
   8614

   Default Re: PICHA ILIYONIHUZUNISHA MTOT WA KIUME WA KI SYRIA ALALA KWENYE MAKABURI YA WAZAZI WAKe

   Maskini!!!! Anatia huruma kwa kweli
   [The only person you should try to be better than is the person you were yesterday

  3. MTIMBICHI's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 15th April 2013
   Posts : 908
   Rep Power : 618
   Likes Received
   179
   Likes Given
   47

   Default Re: Picha iliyonihuzunisha mtot wa kiume wa ki syria alala kwenye makaburi ya wazazi wake

   Lol mungu wewe ndiye hakim inshalah, ngoja nikapige rakaa muda huu .
   Usijisifu Unambio Msifu Anaekukimbiza

  4. Ngalikihinja's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 1st September 2009
   Posts : 11,937
   Rep Power : 82810886
   Likes Received
   3870
   Likes Given
   362

   Default Re: Picha iliyonihuzunisha mtot wa kiume wa ki syria alala kwenye makaburi ya wazazi wake

   Dah... Yesu Kristu amsaidie mtoto huyo....

  5. Miaghay's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 9th June 2011
   Posts : 1,142
   Rep Power : 762
   Likes Received
   196
   Likes Given
   6

   Default Re: Picha iliyonihuzunisha mtot wa kiume wa ki syria alala kwenye makaburi ya wazazi wake

   Tuliwambia wasyria acheni mambo ya maandamano kuna wachochezi wanataka mmalizane.hawakutaka kusikia,acha wauane mpaka watatia akili wenyewe.


  6. Miaghay's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 9th June 2011
   Posts : 1,142
   Rep Power : 762
   Likes Received
   196
   Likes Given
   6

   Default

   Quote By Ngalikihinja View Post
   Dah... Yesu Kristu amsaidie mtoto huyo....
   mungu amsaidie mtoto huyo.

  7. Mkoroshokigoli's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 20th December 2012
   Posts : 10,563
   Rep Power : 96013802
   Likes Received
   2774
   Likes Given
   2784

   Default

   Quote By Miaghay View Post
   mungu amsaidie mtoto huyo.
   Allah ampe subira,mtoto mwema ni yule anayewaombea wazaz wake,,,,,,

  8. Mkoroshokigoli's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 20th December 2012
   Posts : 10,563
   Rep Power : 96013802
   Likes Received
   2774
   Likes Given
   2784

   Default

   Quote By Miaghay View Post
   Tuliwambia wasyria acheni mambo ya maandamano kuna wachochezi wanataka mmalizane.hawakutaka kusikia,acha wauane mpaka watatia akili wenyewe.
   Hawa the so called 'WAASI' NDO wameleta chokochoko zote hizi,maana hakukua na mantiki kabisa ya kuanzisha mapigano,

  9. Spartakas's Avatar
   Member Array
   Join Date : 11th April 2011
   Posts : 73
   Rep Power : 6411057
   Likes Received
   60
   Likes Given
   85

   Default Re: Picha iliyonihuzunisha mtot wa kiume wa ki syria alala kwenye makaburi ya wazazi wake

   Quote By MziziMkavu View Post


   Mtoto wa kiume wa ki Syria aamuwa kulal karibu na Makaburi ya wazazi wake wawili

   Baba na Mama waliouawa na Serikali ya Rais Dikteta Bashar Asad Syria ewe

   Mwenyeezi Mungu waokowe watoto wa Ki-Syria ameen.


   A Heart Breaking image of the Syrian boy sleeping between the graves of his parents murdered by Bashaar.
   Hii imenisikitisha sana nilikuwa nakula nimeacha hivi hawa Russia na China kwanini siku hizi wanakuwa upande wa madikteta? Sio wale tuliwaona zamani dunia inaangalia tu Assad rais haramu ambaye kwanza hakuchaguliwa na mtu yeyote bali alipachikwa na inner circle wa baba yake Hafidhi Assad ili wazidi kula nchi. Arab League naomba huyo kijana apatiwa msaada haraka sana yeye na nduguze iwapo wapo ikiwa ni pamoja na kusomeshwa, makazi, mavazi na chakula mpaka atakapokuwa na umri wa kujitegemea yeye na nduguze. Mungu msiidie huyu mtoto umpe ahueni ya maisha. poleni Syria


  Similar Topics

  1. Replies: 23
   Last Post: 15th December 2013, 03:05
  2. Replies: 64
   Last Post: 10th October 2013, 13:39
  3. Replies: 3
   Last Post: 7th December 2012, 16:25
  4. Replies: 84
   Last Post: 4th February 2011, 13:55

  Tags for this Topic

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...