Hizi ni baadhi ya love scene za THIS IS IT movie ambayo itatoka soon
Mhh scene zingine zinatia kishawishi sana
Hizi ni baadhi ya love scene za THIS IS IT movie ambayo itatoka soon
Mhh scene zingine zinatia kishawishi sana
Don't be a WOMAN that needs a man but the WOMAN a man needs
Mchezo mchezo mwisho mmmmmmmmmmm
Afadhali anatizamika ,sema matiti tayari yamesha Tepwereka kwa kushikwa shikwa ,mkono wa mwanamume ni kama sumu unaposhika shika matiti ni lazima yatanguka kama yanavyonekana ya huyo izekel
Ndugu yangu hii ni kazi kama zilivyo kazi nyingine mfano, ualimu, karani, nesi na soldier n.k kama mkeo akitaka kumegwa atamegwa tuu "mahali popote sio lazima kwa kazi"! Ila kama anajua yupo kazini na yupo komited kwako sidhani kama tajaribu kufanya upuuzi huu.
Na huyu Aunty jina lake halimruhusu hata kuigiza upuuzi wa namna hii hata kama anatafuta pesa.Mnajua anaitwa GWANTWA maana ya jina hili halifanani kabisa na hii tabia.
Na inaonyesha anapenda sana sehemu hizi maana hata uvaaji wake Mmh!
Mambo Hayo!!!!!!
Gwantwa maana yake ni " Wa Bwana", kwa maana ya Yesu Kristo. It is in a Nyakyusa venacular.
Duh ndio maana wengine hizi kazi zitztushinda
Kitu ambacho mwanasiasa anasema ukweli ni jina lake tu
Sihaba !! Vutu Kajaliwa la kukata kwa shoka ,Upewe nini tena Kanumba?mkaa na maiti hawachi kulia lia.
Hiyo filamu naisubiri kwa hamu sana
Don't be a WOMAN that needs a man but the WOMAN a man needs
Ila huyu binti kwa kweli haeleweki
Don't be a WOMAN that needs a man but the WOMAN a man needs
Si mchezo
Don't be a WOMAN that needs a man but the WOMAN a man needs
huyo ndio yule indian anaependa madafu au? hhahha mfunyukuzi kumbe wewe ni paparazi ?
On the recollection of so many and great favours and blessings, I now, with a high sense of gratitude, presume to offer up my sincere thanks to the Almighty, the Creator and Preserver.
aloongelea matiti yamelala hajakosea! kulikoni bi dada!.....hapa ilikuwa ufanye kaa wanavyofanya wenzio wa ulaya, wanavaa hizo swim suit zenye kwapa fupi. kwa hiyo matiti yanavutwa juu yakitaka yasitake ....HOLLA!
ila huyu ant kwa mavazi yake nachoka kabisa,..
Follow Us Here